Ndoa haina thamani katika Karne hii ya 21

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Sasaivi hakuna tena umuhimu wa ndoa kama hapo zamani kwasababu zifuatazo:

1. Sasa hivi wanawake wanataka haki sawa na wanaume yaani 50/50

2. Wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa kusaka pesa za urithi au mirathi mume akifa.

3. Vipato vinazidiana sana

4. Watu wanaoa kwa show off tu

5. Mama ni mwajiriwa na baba ni mwajiriwa ila mtoto analelewa na house girl!

6. Wanawake wengi saivi wanajiweza na hawategemei financial support kutoka kwa wanaume tena wengine wanalea mpaka waume zao!

N.B Wengi wameingia kwenye ndoa ila wanajutaa narudia wanajutaa hivo ndoa isiwe kifungo kwako. Dunia imebadilika hakuna utofauti wa mtoto anaelelewa na wazazi wawili waliopo kwenye ndoa na anayelelewa na single parent.
 
Ngoja waje, za kuambiwa changanya na za kwako...
 
Kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…