bombu
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,127
- 542
swali la kizushi hapo..
Umesha test bidhaa ngapi mpaka sasa???????lol
mh...! Hata sikumbuki idadi, mwe! ngoja nianze kukumbuka hisabu yake vizuri, ntarudi kukujibu kwa ufasaha badae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali la kizushi hapo..
Umesha test bidhaa ngapi mpaka sasa???????lol
Shida nyingine ni ngumu kuzivumilia..

atakuwa mnafiki huyo binamu yako, kwani hakumbuki kama alimwambia atakuwa nae kwenye shida na raha? Sasa inakuaje atake kutumia taratibu za kuvunja ndoa? Aache ufala, amvumilie tu mume wake.
...Katavi mi nilitegemea huyo binadamu yako badala ya kukimbilia kutafuta ushauri kwa watu kutaka kuvunja ndoa ningemuona muelewa kama angetafuta ushauri wa jinsi ya kumsaidia huyo mumewe. Kwani ninachofahamu mimi suala la jogoo kutopanda mtungi linatokana na mambo mengi kama vile maradhi (kisukari), stress, uoga kama mtu hajawahi kukutana nae kimwili na huyo mkewe hapo kabla au kweli ni hitilafu aliyozaliwa nayo. So huyo bibie alitakiwa kujua hasa nini kilichosababisha huyo jamaa kushindwa kusimamisha mashine. Sidhani kama kuomba ushauri wa kuvunja ndoa kuwa eti anaogopa kumdhalilisha mumewe wala haina maaana ameshamdhalilisha tayari.Heshima wakuu.....
Kuna kisa nimesimuliwa kutoka kijijini kwetu kilichompata binamu yangu wa kike mtoto wa shangazi.
Kafunga ndoa ya kikristo(katika madhehebu ya katoliki) miezi mitano iliyopita. Kwa kuwa hakuwahi kumegwa na huyo jamaa yake kabla ya ndoa hakujua nini kingetokea baadae. Baada ya muda ndipo aligundua kuwa jamaa hana uwezo wa kufanya kazi kabisa(jongoo hapandi mtungi). Hivi sasa anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa afanye nini, ameshauriwa arudi nyumbani ili taratibu nyingine zifuatwe lakini yeye hataki anaogopa kumdhalilisha huyo mume wake. Anataka ndoa ivunjwe kwa taratibu na sheria za kanisa ndipo ataondoka.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa sheria za ndoa (kanisa na serikali), je ndoa hii inaweza kuvunjwa???
Mchango wenu tafadhali...
...Katavi mi nilitegemea huyo binadamu yako badala ya kukimbilia kutafuta ushauri kwa watu kutaka kuvunja ndoa ningemuona muelewa kama angetafuta ushauri wa jinsi ya kumsaidia huyo mumewe. Kwani ninachofahamu mimi suala la jogoo kutopanda mtungi linatokana na mambo mengi kama vile maradhi (kisukari), stress, uoga kama mtu hajawahi kukutana nae kimwili na huyo mkewe hapo kabla au kweli ni hitilafu aliyozaliwa nayo. So huyo bibie alitakiwa kujua hasa nini kilichosababisha huyo jamaa kushindwa kusimamisha mashine. Sidhani kama kuomba ushauri wa kuvunja ndoa kuwa eti anaogopa kumdhalilisha mumewe wala haina maaana ameshamdhalilisha tayari.
Katavi inaweza kuvunjwa kama umewahi kuhudhuria ibada ya sakramenti ya ndoa ungekuwa na majibu na huyo ndugu yako sijui alikuwa hasikilizi Padri anasema nini?? Muulize kile kiapo anakikumbuka vizuri na Padri alimwambia nini atakuwa na jibu. Hata ukijiuliza tu swali rahisi kwanini inaitwa Tendo la Ndoa??? Ina maana ndoa bila tendo la ndoa HAIPO. Maoni yangu binafsi
Hiyo inavunjwa bila tatizo lolote. Na jamaa si wa kumhurumia ni mbinafsi sana. Kama anajua ana tatizo kubwa kama hilo inakuwaje anaoa kumtia nuksi mwenzie?? Anaoa ili iweje?? Anataka kumtumia mke kuficha kasoro alonayo?? Mimi simhurumii hata kidogo naoan ni the most selfish man kwani binti ndo keshatiwa dosari tena; from now on tayari dada atakuwa na title ya divorcee.
Huyo jamaa alikuwa na tatizo hilo hata kabla ya ndoa, alidanganya!Mia kwa mia.

Nimehudhuria semina ya ndoa ya dhehebu hilo hilo lililotajwa na mojawapo ya mambo yanayosababisha ndoa kuwa batili ni kisa hicho. Yaani ikithibitika tu hakuna mjadala. Sio kwamba ndoa inavunjwa bali hiyo ndoa ni batili au kwa maneno mazuri ni kuwa hiyo si ndoa kwa sababu imeshindwa kukidhi takwa kubwa zaidi na la kwanza la kuitwa ndoa.

Yaani ikipelekwa kanisani hiyo kesi haichukui hata wiki, kila mtu kwao!

Yawezekana kabisa jamaa hakuhudhuria semina ya ndoa au kama alihudhuria alikuwa hasikilizi maudhui.

Note:

Lazima ithibitike kuwa hilo tatizo jamaa alikuwa nalo kabla ya kufungwa kwa hiyo ndoa, vinginevyo huyo ndugu yako avumilie tu.
Huyo jamaa alikuwa na tatizo hilo hata kabla ya ndoa, alidanganya!
Mia kwa mia.
Nimehudhuria semina ya ndoa ya dhehebu hilo hilo lililotajwa na mojawapo ya mambo yanayosababisha ndoa kuwa batili ni kisa hicho. Yaani ikithibitika tu hakuna mjadala. Sio kwamba ndoa inavunjwa bali hiyo ndoa ni batili au kwa maneno mazuri ni kuwa hiyo si ndoa kwa sababu imeshindwa kukidhi takwa kubwa zaidi na la kwanza la kuitwa ndoa.
Yaani ikipelekwa kanisani hiyo kesi haichukui hata wiki, kila mtu kwao!
Yawezekana kabisa jamaa hakuhudhuria semina ya ndoa au kama alihudhuria alikuwa hasikilizi maudhui.
Note:
Lazima ithibitike kuwa hilo tatizo jamaa alikuwa nalo kabla ya kufungwa kwa hiyo ndoa, vinginevyo huyo ndugu yako avumilie tu.
N.K punguza ukali...mhurumie jamaa kwani hakupenda iwe hivyo.
Ingekuwa wewe ungefanyaje..!