Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Amen kaka............ naona kama ulisinzia then ukapata wazo na kuliweka hapa.......LOL
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo
Umenena vyema
eeeh! mie mwenyewe huwa nasali kabla ya ku do!
hata na mpango kando?
eeeeh! hao huwa nikishapiga nafunga wiki!
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo
Toba na kujitakasa. Yaani shetani huyu, mbaya sana
yaani mi nashangaa kwanini alitupiwaga duniani.....angeangushiwaga kwenye mars saa hiii aah kwa raha zetu!
Mweeeeeeeeeeeeeeeeee