Ndoa iheshimiwe na watu wote.

Ndoa iheshimiwe na watu wote.

Amen kaka............ naona kama ulisinzia then ukapata wazo na kuliweka hapa.......LOL
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo

hilo neno..., ubarikiwe sana.
 
"Upendo
huvumilia, hufadhili, upendo hausudu;
upendo hautabakari; haujivuni; haukosi
kuwa na adabu; hautafuti ambo yake;
hauoni uchungu hauhesabu mabaya
haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja
na kweli huvumilia yote; huamini yote
hutumaini yote hustahimili yote; upendo
haupungui neno wakati wo wote
 
Mkubwa nimeipenda hiyo ....
Ndoa na iheshimiwe na watu wote na ma-infed ... wa humu jamani heshimuni ndoa zenu! Muogopeni Mungu!
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo

Sawa mjomba.
 
Back
Top Bottom