Ndoa iheshimiwe na watu wote.

ilo tamko walipewa watu lakini wanandoa hawajiheshimu hapo inakuwaje???
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo

Naam, " Na mwenye busara husikia neno la Mungu na kulitenda bali mpumbavu husikia na kutokutii." ....... (Mathayo 7: 24-27).
 
Buji we noma. Sometime mwalimu, somtime mwanafunzi nunda
 
this coming from bujibuji?! najiandaa kwa mwsho wa dunia this friday,ngoja nifue mavazi yangu kwa damu ya mwanakondoo! ama kweli wa kwanza atakua wa mwisho
 
nilikuwa katikati ya maombi, upako ukanishukia, ghafla nikauona utukufu wa bwana
duh, hii kali
hebu ngoja nipities sredi zako nyingine nione kama upako ni wa kudumu
 
this coming from bujibuji?! najiandaa kwa mwsho wa dunia this friday,ngoja nifue mavazi yangu kwa damu ya mwanakondoo! ama kweli wa kwanza atakua wa mwishoz
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo
Maono yako yabarikiwe...karibu kaunta..
 
Mungu akubariki umeshahubiri vyema na umeponya ndoa nyingi Mungu akupe tena mafunuo mengine kuhusu ndoa na udumu katika maombi na kusoma neno la Mungu ubarikiwe kaka
 
maneno yote haya kumbe ulitaka kutujuza kuwa umepata godoro la sufi. Nakutakia usingizi mnono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…