Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani mi nashangaa kwanini alitupiwaga duniani.....angeangushiwaga kwenye mars saa hiii aah kwa raha zetu!
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo
Amen kaka............ naona kama ulisinzia then ukapata wazo na kuliweka hapa.......LOL
duh, hii kalinilikuwa katikati ya maombi, upako ukanishukia, ghafla nikauona utukufu wa bwana
Maono yako yabarikiwe...karibu kaunta..Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo