Ulitakiwa kujua hilo kabla ya kuingiza ndani jumla, kama umegundua asili yake ni kelele wakati umeshaoa huna budi kuvumilia ndio maana sisi wakristo huwa tunasema for better and worse...means kila aina ya madhaifu utayabeba na kuyavumiliaWengine makelele ndio asili yao. Ilimradi tu akukere.
Mkuu si unajua umri ukisogea ngozi inakuwa oversize na damu inakuwa ya baridi, hata yale mashamsham yanapungua; ndio maana wengine uamua kuchepuka kutafuta damu moto.Ndoa ni changa kila siku,hata mkiwa na watoto 10, ukiweka hiyo akilini huwezi kujuta kuingia kwenye ndoa
Kuna mbinu nyingi sana za kuifanya ndo iendelee kuwa changa
Tatizo vijana wa siku hizi ukishatoka honeymoon tayari unatafuta kamchepuka, halafu unaanza kuona kama ndoa yako imezeeka
Kwenye ndoa kila siku ni honeymoon na kila siku mwenzio ni mpya...
hii ni applicable kwa sisi wenye miaka 50 kwenda juu, vijana wa siku hizi hawawezi
Tusiokuwa na hivyo vitu hatukuelewi mkuuNi kweli mkuu halafu kwenye account kuwe na comma za kutosha ,nje umepaki mikoko kama mitatu hivi halafu abdallah kichwa wazi awe na nguvu za kutosha.
Hela ikianza kukosekana ndio makelele uanzaHahahahah ndoa ni mpya mpaka pale mwanamke atapoanza makelele ndani hapakaliki with no sane reasons.🤣🤣🤣
Hata hao michepuko damu ndogo nao watafikia umri wakuchokaMkuu si unajua umri ukisogea ngozi inakuwa oversize na damu inakuwa ya baridi, hata yale mashamsham yanapungua; ndio maana wengine uamua kuchepuka kutafuta damu moto.
Kuleni raha ya dunia kwanza,kabla ya kuingia kwenye majukumu mazitoWatoto bado kwanzaa
Kwahio wale jamaa tunaokesha nao bar huwa hawana hela.Hela ikianza kukosekana ndio makelele uanza
Utamlisha nini? au mtashea boom?Wa 12 naoa mkuuu nikiwa 2cond year
Mapenzi yakikosekana kelele lazima, kama pesa hata wanawake wanajua kutafuta tena kwa bidii kweliHela ikianza kukosekana ndio makelele uanza
Yaani unakuwa na peace of mind yaani No stress.Tusiokuwa na hivyo vitu hatukuelewi mkuu
Majukumu yakizidi ndio uleta makelele ndaniMkiwa wawili tu hamnaga tatizo mbona, hela ikiwepo ya kukidhi mahitaji yenu bila shida actually kula tu na bills za maji na umeme na mafuta hapo huwa hamna tatizo.
Wacha ada zianze kulipwa pale na majukumu ya utafutaji yakiongezeka.
Aiiii....Hata hao michepuko damu ndogo nao watafikia umri wakuchoka
Wanaume mnashauriwa kuoa wanawake ambao mmewazidi umri atlist level ya 5-10 atlist inasaidi mama anakua na nguvu hata kwa kipindi ambacho bado damu ya mzee inachemka
Wanakuwa hawatoi za matumizi nyumbani, unakuta nyumbani wanakula vichwa vya dagaa huku mzee bar akiagiza kukuKwahio wale jamaa tunaokesha nao bar huwa hawana hela.
Hivyo vitu ni vya muhimu sana na vinampa mwanaume heshimaYaani unakuwa na peace of mind yaani No stress.
Chanzo cha makelele ndani huwa ni nini haswa,kwa upande wa mwanamke?Mapenzi yakikosekana kelele lazima, kama pesa hata wanawake wanajua kutafuta tena kwa bidii kweli
Umenichekesha higo NB yako hapo chini, wamekusikiaAiiii....
Nani kasema hvyo...? Inategemea na nature ya mtu kunawanawake wengne wanamiili mibaya yaani miili yao inaporomoka vibaya aisee...hasa wakisha zaa.
Ila kuna wengne adi raha ata wazae watoto watatu bado wapo vigori mwanamke anamiaka 40+ lakini bado anamvuto hatari...
NB:- bado sijaoa
Sijui unapozungumzia makelele unazungumzia nini, naamini kila ndoa ina changamoto lakini pia kuna namna ya kutatua changamoto kwa upendo na hekima padipo kumfanya mwenzi wako ajisikie kudharaulika au ajute kwa namna moja au nyingineChanzo cha makelele ndani huwa ni nini haswa,kwa upande wa mwanamke?
Ki vipi mkuu?Ndoa iliyokomaa ndio ina raha
Yani usiombe mzee baba, hali ya hewa huchafuka ghafla. Mwisho unaanza kufanya vile vya priority mwanamke anafosi vya kwake inakuwa vurugu mechi minuno na kelele.🤣🤣🤣Majukumu yakizidi ndio uleta makelele ndani