Kipeperushi
Senior Member
- Aug 17, 2011
- 167
- 33
Mkuu maelezo yako yanahitaji ufafanuzi zaidi. Unasema unapata faida, faida gani? Mwelekeo wako unaelekea kuwa ni mzuri, msaidie mwanaJF mwenzetu asije akaharibu. Anatakiwa kujua tatizo la shemeji yetu ni ujauzito wake tu..!, ampe muda akishajifungua atatupa majibu.Ingia google, soma tabia za wajawazito.
Ukiamuacha mie namuona na mimba yake napata faida
Wana Jf,
Nina mke ambaye sasa ni mjamzito wa miezi 8 sasa. Kiukweli tabia yake imenishinda. Ni mtu wa kununa nuna muda wote, sijisikii furaha kuwa nae though ni mke wangu na niliapa kuwa ni yeye tu basi hadi kifo kitutenganishe.
Nimemsomesha na sasa ana kazi yake, mshahara wake siujui na wala sihoji anachofanyia, ndani kuna kila kitu, kazini nampeleka kwa usafiri hadi kituo cha basi (km 5 toka home hadi kituo cha basi).
Mimi nakunywa bia but 1 au2 tu, saa 12 au 1 jioni nipo home.
KISA: juzi jioni nimemuona ana mawazo mengi sana, nikamuuliza kwa upole nini tatizo bibie kasema mhmh maisha magumu. Hakutaka kuendelea kuongea na mimi. Jana nimempeleka kazini namsemesha lakini anaongea kama namlazimisha tu, kifupi hakupenda kuongea nami.
Jioni nimetoka kazini namfuata, ameshukia daladala kituo kingine tofauti na ameamua kutembea kwa mguu hadi home. Hajaongea nami hadi anaamka asubuhi.
Leo nimemuacha atembee kwa mguu kwenda huko kituoni (km 5 hadi kituoni). Nimechukia sana na namuona kero. Najuta kumuoa na nataka nimuache coz sioni kama nina tija naye.
Naombeni ushauri wenu wandugu.
binadamu bwana.... Wakati anakupa raha, hukuja kuulizia tumpe zawadi gani sasa changes za pregnancy, tayari unakata rufaa
Kaka umesomeka ngoja niwe mpole for time being ila zoezi la ku-shutle kwenda kazini atafanya hadi ajifungue ..... hilo nimesema sirudishi moyo nyuma. Nafanya hivyo ili at the end aweze ku-value thamani ya kumpeleka na kumrudisha ili asirudie tena upuuzi wake.
....aiseee...
...hebu jifunge kiroba cha kilo 2 tumboni, uwe unashinda nacho usiku na mchana tukuone utadumu nacho siku ngapi...maana mkeo kajitahidi miezi nane sasa, ulalama wake badala ya kumbembeleza ushaona kero?
...hebu usituletee za kuleta bana...mkeo mja mzito...subiri mtoto akishaanza kutembea ndio utuletee hizi za ooohhh, simuelewi mke wangu!
chukulia kama mzaha, nunua video kamera, uwe unamrokodi kwa siri. Akijifungua muonyeshe mkanda wake.
Mbu,
unajua kuna kitu kinaitwa kupokea, sasa mimi nimejitahidi kwa kila kitu ili yeye a-feel comfortable kuwa nami home muda wote.
Imagine-- mpango wa kando sina na wala sitegemei kufanya hivyo. Nikitoka job nipo home ful time, bia nakunywa home, Jamii Forum na-surf nikiwa home but inafikia hatua mtu unachokaa mkuu.
yaani haoni uwepo wangu karibu naye kama una manufaa au ku-value upendo wangu kwake, so hapo mimi nifanye nini sasa.
Kama kubeba mimba ndio kigezo mbona hata kichaa huwa anabeba na huwa anazaa au yeye ndio wa kwanza kubeba mimba? be realistic mkuu sio kupendelea upande mmoja kisa eti kabeba mimba!
Ila na wewe jamani mfanyie mkeo mpango wa kumpanguzia mwendo. Khaaa! 5 km kwenda 5 kurudi iyo ni ten na ujauzito wa miezi nane?
Mkuu maelezo yako yanahitaji ufafanuzi zaidi. Unasema unapata faida, faida gani? Mwelekeo wako unaelekea kuwa ni mzuri, msaidie mwanaJF mwenzetu asije akaharibu. Anatakiwa kujua tatizo la shemeji yetu ni ujauzito wake tu..!, ampe muda akishajifungua atatupa majibu.
Dear Daughter,
Plse tambua kuwa mimi sio tatizo, imagine mtu unampeleka na gari hadi kituoni. Then baadae unaenda tena na gari hadi kituoni unakaaa unaona muda umepita na sio kawaida yake kuchelewa hivyo, unampigia simu anasema anakaribia kufika home na yupo kwa mguu. Simu anayo na ina vocha, je kwanini asingesema kama nisimfuate kituoni leo kuwa ana mishemishe zake? mimi kosa langu hapo ni nini daughter?
Ndio maana nimeumia na kuamua nimuache since leo asubuhi aende ka kurudi home hadi hapo atakapojifungua huenda later ataweza ku-value kupelekwa na gari.
still nasubiri ushauri wako, ila mhmhm huyu bibie naona habebeki kabisaa!
Mbu,
unajua kuna kitu kinaitwa kupokea, sasa mimi nimejitahidi kwa kila kitu ili yeye a-feel comfortable kuwa nami home muda wote.
Imagine-- mpango wa kando sina na wala sitegemei kufanya hivyo. Nikitoka job nipo home ful time, bia nakunywa home, Jamii Forum na-surf nikiwa home but inafikia hatua mtu unachokaa mkuu.
yaani haoni uwepo wangu karibu naye kama una manufaa au ku-value upendo wangu kwake, so hapo mimi nifanye nini sasa.
Kama kubeba mimba ndio kigezo mbona hata kichaa huwa anabeba na huwa anazaa au yeye ndio wa kwanza kubeba mimba? be realistic mkuu sio kupendelea upande mmoja kisa eti kabeba mimba!
Dear Daughter,
Plse tambua kuwa mimi sio tatizo, imagine mtu unampeleka na gari hadi kituoni. Then baadae unaenda tena na gari hadi kituoni unakaaa unaona muda umepita na sio kawaida yake kuchelewa hivyo, unampigia simu anasema anakaribia kufika home na yupo kwa mguu. Simu anayo na ina vocha, je kwanini asingesema kama nisimfuate kituoni leo kuwa ana mishemishe zake? mimi kosa langu hapo ni nini daughter?
Ndio maana nimeumia na kuamua nimuache since leo asubuhi aende ka kurudi home hadi hapo atakapojifungua huenda later ataweza ku-value kupelekwa na gari.
still nasubiri ushauri wako, ila mhmhm huyu bibie naona habebeki kabisaa!
Dear Daughter,
Plse tambua kuwa mimi sio tatizo,
imagine mtu unampeleka na gari hadi kituoni. Then baadae unaenda tena na gari hadi kituoni unakaaa unaona muda umepita na sio kawaida yake kuchelewa hivyo, unampigia simu anasema anakaribia kufika home na yupo kwa mguu. Simu anayo na ina vocha, je kwanini asingesema kama nisimfuate kituoni leo kuwa ana mishemishe zake? mimi kosa langu hapo ni nini daughter?