Ndoa imenishinda wana Jf, nipeni mwongozo tafadhali.......!

Ingia google, soma tabia za wajawazito.
Ukiamuacha mie namuona na mimba yake napata faida
Mkuu maelezo yako yanahitaji ufafanuzi zaidi. Unasema unapata faida, faida gani? Mwelekeo wako unaelekea kuwa ni mzuri, msaidie mwanaJF mwenzetu asije akaharibu. Anatakiwa kujua tatizo la shemeji yetu ni ujauzito wake tu..!, ampe muda akishajifungua atatupa majibu.
 
Ila na wewe jamani mfanyie mkeo mpango wa kumpanguzia mwendo. Khaaa! 5 km kwenda 5 kurudi iyo ni ten na ujauzito wa miezi nane?
 
Wana Jf,

Nina mke ambaye sasa ni mjamzito wa miezi 8 sasa. Kiukweli tabia yake imenishinda. Ni mtu wa kununa nuna muda wote, sijisikii furaha kuwa nae though ni mke wangu na niliapa kuwa ni yeye tu basi hadi kifo kitutenganishe.

Nimemsomesha na sasa ana kazi yake, mshahara wake siujui na wala sihoji anachofanyia, ndani kuna kila kitu, kazini nampeleka kwa usafiri hadi kituo cha basi (km 5 toka home hadi kituo cha basi).

Mimi nakunywa bia but 1 au2 tu, saa 12 au 1 jioni nipo home.

KISA: juzi jioni nimemuona ana mawazo mengi sana, nikamuuliza kwa upole nini tatizo bibie kasema mhmh maisha magumu. Hakutaka kuendelea kuongea na mimi. Jana nimempeleka kazini namsemesha lakini anaongea kama namlazimisha tu, kifupi hakupenda kuongea nami.

Jioni nimetoka kazini namfuata, ameshukia daladala kituo kingine tofauti na ameamua kutembea kwa mguu hadi home. Hajaongea nami hadi anaamka asubuhi.

Leo nimemuacha atembee kwa mguu kwenda huko kituoni (km 5 hadi kituoni). Nimechukia sana na namuona kero. Najuta kumuoa na nataka nimuache coz sioni kama nina tija naye.

Naombeni ushauri wenu wandugu.

....aiseee...

...hebu jifunge kiroba cha kilo 2 tumboni, uwe unashinda nacho usiku na mchana tukuone utadumu nacho siku ngapi...maana mkeo kajitahidi miezi nane sasa, ulalama wake badala ya kumbembeleza ushaona kero?

...hebu usituletee za kuleta bana...mkeo mja mzito...subiri mtoto akishaanza kutembea ndio utuletee hizi za ooohhh, simuelewi mke wangu!
 
binadamu bwana.... Wakati anakupa raha, hukuja kuulizia tumpe zawadi gani sasa changes za pregnancy, tayari unakata rufaa

Kaka umesomeka ngoja niwe mpole for time being ila zoezi la ku-shutle kwenda kazini atafanya hadi ajifungue ..... hilo nimesema sirudishi moyo nyuma. Nafanya hivyo ili at the end aweze ku-value thamani ya kumpeleka na kumrudisha ili asirudie tena upuuzi wake.
 
...e bana weee....mbona unakuwa mkorofi wewe?

kwa taarifa yako, mwanamke anakusoma vizuri sana kipindi hiki,...
utakuja jutia baadae kaka,...hebu kuwa mpole na mwelewa bana.
itafika wakati utashindwa rudisha muda nyuma kujutia kwa haya unayoyatenda kwa
mkeo na mwanao...

....aiseee...

...hebu jifunge kiroba cha kilo 2 tumboni, uwe unashinda nacho usiku na mchana tukuone utadumu nacho siku ngapi...maana mkeo kajitahidi miezi nane sasa, ulalama wake badala ya kumbembeleza ushaona kero?

...hebu usituletee za kuleta bana...mkeo mja mzito...subiri mtoto akishaanza kutembea ndio utuletee hizi za ooohhh, simuelewi mke wangu!

Mbu,

unajua kuna kitu kinaitwa kupokea, sasa mimi nimejitahidi kwa kila kitu ili yeye a-feel comfortable kuwa nami home muda wote.

Imagine-- mpango wa kando sina na wala sitegemei kufanya hivyo. Nikitoka job nipo home ful time, bia nakunywa home, Jamii Forum na-surf nikiwa home but inafikia hatua mtu unachokaa mkuu.

yaani haoni uwepo wangu karibu naye kama una manufaa au ku-value upendo wangu kwake, so hapo mimi nifanye nini sasa.

Kama kubeba mimba ndio kigezo mbona hata kichaa huwa anabeba na huwa anazaa au yeye ndio wa kwanza kubeba mimba? be realistic mkuu sio kupendelea upande mmoja kisa eti kabeba mimba!
 
Samahani Ngoswe lakini unaonekana si mwelewa

Hiyo ni kawaida kwa wajawazito. Wengine hukataa hata kulala na waume zao hata sura huwa hawataki kuwaona. Hawawezi kujicontrol hizo tabia kwa hiyo sio kama anakufanyia ukorofi kwa makusudi.

Be patient, mchukulie kama mtoto kwa muda huu kwa vile hawezi kuji control. Usimuwache kuhangaika na kiumbe tumboni ni chako. Hebu kuwa makini kijana, maisha hayapo hivyo. Kama hujamhurumia wewe mkeo ahurumiwe na nani?
 
Mvumilie akitoa singo tu hiyo tabia zote ataacha umeona mwenzio shemeji yako mjamzito ila kichefu chefu napata mimi.
 
Mbu,

unajua kuna kitu kinaitwa kupokea, sasa mimi nimejitahidi kwa kila kitu ili yeye a-feel comfortable kuwa nami home muda wote.

Imagine-- mpango wa kando sina na wala sitegemei kufanya hivyo. Nikitoka job nipo home ful time, bia nakunywa home, Jamii Forum na-surf nikiwa home but inafikia hatua mtu unachokaa mkuu.

yaani haoni uwepo wangu karibu naye kama una manufaa au ku-value upendo wangu kwake, so hapo mimi nifanye nini sasa.

Kama kubeba mimba ndio kigezo mbona hata kichaa huwa anabeba na huwa anazaa au yeye ndio wa kwanza kubeba mimba? be realistic mkuu sio kupendelea upande mmoja kisa eti kabeba mimba!

....bado hujamaliza kila kitu bana, kama ingekuwa umejitahidi kwa kila kitu mbona hili linaanza kukushinda kaka?
kuwa naye home muda wote sio kila kitu bana,...inawezekana upo home lakini pia ni mzigo mwingine kwake!

..ongeza ujasiri kidogo,...bado mwezi mmoja mtoto azaliwe....inshaallah...

msamehe! ni hali flani ya mapito,ata yy si yy ni MIMBA! akijifungua atarudi ktk hali yake ya kawaidi,mfariji,msaidie,mvumilie,msaport na umjengee mazingira ya kutokujiona mpekwe mpende mkeo bana!
 
Ila na wewe jamani mfanyie mkeo mpango wa kumpanguzia mwendo. Khaaa! 5 km kwenda 5 kurudi iyo ni ten na ujauzito wa miezi nane?

Dear Daughter,

Plse tambua kuwa mimi sio tatizo, imagine mtu unampeleka na gari hadi kituoni. Then baadae unaenda tena na gari hadi kituoni unakaaa unaona muda umepita na sio kawaida yake kuchelewa hivyo, unampigia simu anasema anakaribia kufika home na yupo kwa mguu. Simu anayo na ina vocha, je kwanini asingesema kama nisimfuate kituoni leo kuwa ana mishemishe zake? mimi kosa langu hapo ni nini daughter?

Ndio maana nimeumia na kuamua nimuache since leo asubuhi aende ka kurudi home hadi hapo atakapojifungua huenda later ataweza ku-value kupelekwa na gari.

still nasubiri ushauri wako, ila mhmhm huyu bibie naona habebeki kabisaa!
 
Wanaume tunaoa, wavulana..???
Sasa kununa kwa mimba tu anaacha mke, je wanaowafuma na mahausiboi wasemeje???
Ukioa mjamzito unapata faida ya mke na mtoto, njoo kwetu Tarime ujionee, hatuachi kitu.

Mkuu maelezo yako yanahitaji ufafanuzi zaidi. Unasema unapata faida, faida gani? Mwelekeo wako unaelekea kuwa ni mzuri, msaidie mwanaJF mwenzetu asije akaharibu. Anatakiwa kujua tatizo la shemeji yetu ni ujauzito wake tu..!, ampe muda akishajifungua atatupa majibu.
 
Dear Daughter,

Plse tambua kuwa mimi sio tatizo, imagine mtu unampeleka na gari hadi kituoni. Then baadae unaenda tena na gari hadi kituoni unakaaa unaona muda umepita na sio kawaida yake kuchelewa hivyo, unampigia simu anasema anakaribia kufika home na yupo kwa mguu. Simu anayo na ina vocha, je kwanini asingesema kama nisimfuate kituoni leo kuwa ana mishemishe zake? mimi kosa langu hapo ni nini daughter?

Ndio maana nimeumia na kuamua nimuache since leo asubuhi aende ka kurudi home hadi hapo atakapojifungua huenda later ataweza ku-value kupelekwa na gari.

still nasubiri ushauri wako, ila mhmhm huyu bibie naona habebeki kabisaa!

Samahani lakini mkeo akijifungua njiani akiwa anapiga mguu utakujisikiaje?
 
Mbu,

unajua kuna kitu kinaitwa kupokea, sasa mimi nimejitahidi kwa kila kitu ili yeye a-feel comfortable kuwa nami home muda wote.

Imagine-- mpango wa kando sina na wala sitegemei kufanya hivyo. Nikitoka job nipo home ful time, bia nakunywa home, Jamii Forum na-surf nikiwa home but inafikia hatua mtu unachokaa mkuu.

yaani haoni uwepo wangu karibu naye kama una manufaa au ku-value upendo wangu kwake, so hapo mimi nifanye nini sasa.

Kama kubeba mimba ndio kigezo mbona hata kichaa huwa anabeba na huwa anazaa au yeye ndio wa kwanza kubeba mimba? be realistic mkuu sio kupendelea upande mmoja kisa eti kabeba mimba!

Nimekusamehe bure, utakuwa bado kavulana sana, tena kichwa panzi.
Vi-vichwa panzi vikipita bar tu vinalewa, vinaanza kuimagine vitu vyingi.
 
Baba tuliza mzuka, mimba haitaki aongee na wewe, vumilia bado mwezi mmoja tu atarudi katak hali ya kawaida
 
Dear Daughter,

Plse tambua kuwa mimi sio tatizo, imagine mtu unampeleka na gari hadi kituoni. Then baadae unaenda tena na gari hadi kituoni unakaaa unaona muda umepita na sio kawaida yake kuchelewa hivyo, unampigia simu anasema anakaribia kufika home na yupo kwa mguu. Simu anayo na ina vocha, je kwanini asingesema kama nisimfuate kituoni leo kuwa ana mishemishe zake? mimi kosa langu hapo ni nini daughter?

Ndio maana nimeumia na kuamua nimuache since leo asubuhi aende ka kurudi home hadi hapo atakapojifungua huenda later ataweza ku-value kupelekwa na gari.

still nasubiri ushauri wako, ila mhmhm huyu bibie naona habebeki kabisaa!

Yaani ushanichosha kabisa, kasome skwea ruti na sipiyu, ndo urudi kuuliza swali.
 
Dear Daughter,

Plse tambua kuwa mimi sio tatizo,

...hapana, wewe ni tatizo kwasababu unakataa una tatizo la kuchambua, kuelewa na kutatua tatizo!

imagine mtu unampeleka na gari hadi kituoni. Then baadae unaenda tena na gari hadi kituoni unakaaa unaona muda umepita na sio kawaida yake kuchelewa hivyo, unampigia simu anasema anakaribia kufika home na yupo kwa mguu. Simu anayo na ina vocha, je kwanini asingesema kama nisimfuate kituoni leo kuwa ana mishemishe zake? mimi kosa langu hapo ni nini daughter?

...kwanini nawewe hukuwahi hapo kituoni? ungefika mapema ungemkuta!
halafu hili kosa ni la juzi tu kaka...mbona unalikuza sana bana?

Ndio maana nimeumia na kuamua nimuache since leo asubuhi aende ka kurudi home hadi hapo atakapojifungua huenda later ataweza ku-value kupelekwa na gari.

still nasubiri ushauri wako, ila mhmhm huyu bibie naona habebeki kabisaa!

...kaka, hapa unashindwa kugundua ukweli kwamba mwenzio anakuonyesha gari sio issue kwake ki hivyo, anayo miguu yake anaweza tembea hizo kilometa tano bila wasiwasi...

hebu acha hizo bana, usitafute sababu za "kusaidiwa" bure...kuna wanaompita mkeo na magari yao na kumuhurumia!
 
Back
Top Bottom