Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Bwabwa kumbe umeoa! Na kiswahili hiki kweli mtu wa mwambaoJemeni sasa huu mwaka mmoja na miezi 2 sasa nimo katika ndoa lakini mambo ninayokumbana nayo kwa kweli ni makubwa mno, yamenielemea. Nimeona bora nimwage mtama hapa jamvini ili wenye nia njema wanipe ushauri wa kufanya. Mwaka jana mwanzoni nilimuoa binti wa Kitanga anatoka Pangani.Siwezi kueleza yote lakini huyu mwanamke ana matarahambe sijapata kuona, kila nikijitahidi kumridhisha hatosheki, tukianza kugombana basi anapiga kelele mpaka majirani wote wanasikia, aibu tupu!! Kwa mfano mara nyingi yeye anapenda nimnunulie nyama ya kuku, Juzi nilipita Kisutu nikachukua kuku 4, kufika nao nyumbani, ananiambi eti kachoka kula nyama ya kuku, anatamani kula nyama ya kasuku, nilishtuka sana, nikamuuliza kama yuko serious, akaniambia hivyo ndivyo anavyotaka, nimejaribu kuulizia kasuku anauzwa bei gani, nimeambiwa mmoja ni laki mbili, hivi wadau mnanipa ushauri gani?? Huyu mke si wa kuachana naye!! Au kuna njia yoyote ya kufanya....
hapa mi bado kukupata,umeoa umeolewa na huyo kasuku nyinyi wanandoa nikitu gani?ama niwewe umepata BWABWA lenzio mnapakuana?Jemeni sasa huu mwaka mmoja na miezi 2 sasa nimo katika ndoa lakini mambo ninayokumbana nayo kwa kweli ni makubwa mno, yamenielemea. Nimeona bora nimwage mtama hapa jamvini ili wenye nia njema wanipe ushauri wa kufanya. Mwaka jana mwanzoni nilimuoa binti wa Kitanga anatoka Pangani.Siwezi kueleza yote lakini huyu mwanamke ana matarahambe sijapata kuona, kila nikijitahidi kumridhisha hatosheki, tukianza kugombana basi anapiga kelele mpaka majirani wote wanasikia, aibu tupu!! Kwa mfano mara nyingi yeye anapenda nimnunulie nyama ya kuku, Juzi nilipita Kisutu nikachukua kuku 4, kufika nao nyumbani, ananiambi eti kachoka kula nyama ya kuku, anatamani kula nyama ya kasuku, nilishtuka sana, nikamuuliza kama yuko serious, akaniambia hivyo ndivyo anavyotaka, nimejaribu kuulizia kasuku anauzwa bei gani, nimeambiwa mmoja ni laki mbili, hivi wadau mnanipa ushauri gani?? Huyu mke si wa kuachana naye!! Au kuna njia yoyote ya kufanya....
hapa mi bado kukupata,umeoa umeolewa na huyo kasuku nyinyi wanandoa nikitu gani?ama niwewe umepata BWABWA lenzio mnapakuana?
mama huyo si binti na wala hamaanishi kasuku unayemjua wewe,huyo ni BWABWA katumia misamiati yake ya ajabuajabu msome bazazi utaelewa.mwambie it is a crime to kill kasuku... she is very cruel 🙄 au labda huyu binti hakutaki lakini anashindwa kusema...
ooow okay... mie namisamiati? ... apo ndo kishanipotezamama huyo si binti na wala hamaanishi kasuku unayemjua wewe,huyo ni BWABWA katumia misamiati yake ya ajabuajabu msome bazazi utaelewa.
Sasa ni mwanamke gani atakubali kuishi na "punga"?