Ndoa imenishinda...Your Advice PLS!

Ndoa imenishinda...Your Advice PLS!

.......kasuku? analiwa huyu? no way, takiwa ile style ya fidel kaileta leo...ha!ha!ha!
 
Bwabwa huyo amegundua wewe mwenyewe unakula KASUKU kwa raha zako na ameambiwa na mashoga zake kuwa kula kasuku ni kutamu sana. Tatizo ulilonalo ni kuwa mara nyingi mla kasuku huwa hawezi kumlisha wenzake kasuku kwani uwezo wake wa kununua huwa umeshuka kuliko maelezo. Nakushauri umuache kwani haitapendeza Mr & Mrs kula kasuku na watu tofauti.
 
Jemeni sasa huu mwaka mmoja na miezi 2 sasa nimo katika ndoa lakini mambo ninayokumbana nayo kwa kweli ni makubwa mno, yamenielemea. Nimeona bora nimwage mtama hapa jamvini ili wenye nia njema wanipe ushauri wa kufanya. Mwaka jana mwanzoni nilimuoa binti wa Kitanga anatoka Pangani.Siwezi kueleza yote lakini huyu mwanamke ana matarahambe sijapata kuona, kila nikijitahidi kumridhisha hatosheki, tukianza kugombana basi anapiga kelele mpaka majirani wote wanasikia, aibu tupu!! Kwa mfano mara nyingi yeye anapenda nimnunulie nyama ya kuku, Juzi nilipita Kisutu nikachukua kuku 4, kufika nao nyumbani, ananiambi eti kachoka kula nyama ya kuku, anatamani kula nyama ya kasuku, nilishtuka sana, nikamuuliza kama yuko serious, akaniambia hivyo ndivyo anavyotaka, nimejaribu kuulizia kasuku anauzwa bei gani, nimeambiwa mmoja ni laki mbili, hivi wadau mnanipa ushauri gani?? Huyu mke si wa kuachana naye!! Au kuna njia yoyote ya kufanya....
Bwabwa kumbe umeoa! Na kiswahili hiki kweli mtu wa mwambao
 
Pole sana kaka, huyo mwanamke hakufai, maana utapata kasuku atakuambia ununue na punda kabisaaa! Cha muhimu ni kurudi kwa wazee wenu kisha muelezane ukweli kuhusu hali hiyo, maana utakonda bureee, na uwezo unao weye atii!
 
Jemeni sasa huu mwaka mmoja na miezi 2 sasa nimo katika ndoa lakini mambo ninayokumbana nayo kwa kweli ni makubwa mno, yamenielemea. Nimeona bora nimwage mtama hapa jamvini ili wenye nia njema wanipe ushauri wa kufanya. Mwaka jana mwanzoni nilimuoa binti wa Kitanga anatoka Pangani.Siwezi kueleza yote lakini huyu mwanamke ana matarahambe sijapata kuona, kila nikijitahidi kumridhisha hatosheki, tukianza kugombana basi anapiga kelele mpaka majirani wote wanasikia, aibu tupu!! Kwa mfano mara nyingi yeye anapenda nimnunulie nyama ya kuku, Juzi nilipita Kisutu nikachukua kuku 4, kufika nao nyumbani, ananiambi eti kachoka kula nyama ya kuku, anatamani kula nyama ya kasuku, nilishtuka sana, nikamuuliza kama yuko serious, akaniambia hivyo ndivyo anavyotaka, nimejaribu kuulizia kasuku anauzwa bei gani, nimeambiwa mmoja ni laki mbili, hivi wadau mnanipa ushauri gani?? Huyu mke si wa kuachana naye!! Au kuna njia yoyote ya kufanya....
hapa mi bado kukupata,umeoa umeolewa na huyo kasuku nyinyi wanandoa nikitu gani?ama niwewe umepata BWABWA lenzio mnapakuana?
 
hapa mi bado kukupata,umeoa umeolewa na huyo kasuku nyinyi wanandoa nikitu gani?ama niwewe umepata BWABWA lenzio mnapakuana?

siku hizi harusi ziko za aina nyingi na za jinsia ya aina moja, huenda ikawa
 
mwambie it is a crime to kill kasuku... she is very cruel 🙄 au labda huyu binti hakutaki lakini anashindwa kusema...
 
mwambie it is a crime to kill kasuku... she is very cruel 🙄 au labda huyu binti hakutaki lakini anashindwa kusema...
mama huyo si binti na wala hamaanishi kasuku unayemjua wewe,huyo ni BWABWA katumia misamiati yake ya ajabuajabu msome bazazi utaelewa.
 
Sasa ni mwanamke gani atakubali kuishi na "punga"?
 
mama huyo si binti na wala hamaanishi kasuku unayemjua wewe,huyo ni BWABWA katumia misamiati yake ya ajabuajabu msome bazazi utaelewa.
ooow okay... mie namisamiati? ... apo ndo kishanipoteza

ngoja nirudie darasa la kwanza labda ntapata kitu
 
hahahahaaa tehe bwabwa kwa mara ya kwanza umenichekesha, kweli mke kidonda, halafu mtoto mwenyewe wa kitanga duh mkuu muulize vizuri pengine si kasuku halisi anayetajwa hapo hahahahahaha tehe
 
Nimetafakari na hili ni jibu langu kwako;

Mtafutie panya buku waoke vizuri na umpelekee; Kiranga chote kitamwisha!😀
 
Lazima ndoa ikushinde kwa sababu wewe ni shoga,
unahitaji kuolewa.
Nakushauri utafute mchumba, akuoe akuweke kinyumba.
 
Mmmh Jamani.

Kwani wewe usichoelewa ni kitu gani hapo mwenzetu? Huyo mwanamke hakutaki na anakutafutia visa!!! Achana naye masharti gani hayo? Kupenda si upande mmoja inatakiwa na yeye akupende pia kama angekua anakupenda wala asingekupa masharti yote hayo, kwani yeye ni malaika hadi umng'anganie hivyo? Inaonekana wazi hakutaki na ukipenda unakuwa kipofu hauoni wengine kama sisi tulio mbali ndio tunaona na mimi nakushauri tafuta mwingine. Safari hii tafuta Mkurya!!!
 
We bwabwa wewe hiki sio kisa chako mwenyewe kweli, wewe unaoa au unaolewa?
 
Huyo mtoto toka tanga tulia naye tuu. Si wajua tena ndio wenyewe hao kwa maloveee!!!!!!!!!!!!!
 
Babu huyo mkeo kuna kitu hujamridhisha na anashindwa kukuwekea wazi,ukimpata kasuku atataka "nyama ya Bata".upo hapo? Inaelekea wewe Mbara sio
 
Back
Top Bottom