Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

Duh unashangaa nini, mambo uliyoandika hapa unaonekana kabisa wewe ni mkosaji
Mkubwa kwenye hii ndoq japo umemlaumu mke wako. Mpaka mke wako anasema yeye na mama ni wake wenza basi inaonekana hii ndoa imeshikiliwa na mama yako, tena ingekuwa mimi ningekuambia namuachia kitanda mama yako. Tafuta source nini Lkn kwa jinsi ulivyoandika inaonekana una
Makosa mengi kushinda mke wako.

Na kwanini wao wakae kwa wakwe?bora arudi kwao maana naona kama mwanamme ndoa imekushinda.

Sisi wakristo kuna maandiko kwenye biblia kuwa mume and mke wataacha wazazi/ familia zako na kuungana kama kitu kimoja

Duh
 
Ukiangalia hivyo vitu mpaka mmefikia hatua hiyo vina msingi wowote?kwahiyo umeshindwa kuyaweka sawa ili muyamalize?kwa mfano ikatokea mmeachana hizo sababu unaona zina mashiko?hapo inaonyesha penzi limeshuka kutokana na migogoro isioisha na sababu ya hiyo migogoro ni kuruhusu shetani awatawale.Sasa ili uwe salama shika dini yako sawa sawa,mrudieni Mungu kwa dhati hayo yote yatapita na mtabakia mnashangaa huo upepo kwanini mliuruhusu kwenye nyumba yenu...
 
Bila kujali mama yangu amemuambia nini, ikitokea mwanamke akanitamkia kauli kama hiyo, hakika nitabadili maisha yake kwa namna ya kipekee sana!

In short, amemaanisha jamaa analala na mamaake pia!
Vita haina macho...
Mpaka mke kuongea hivyo ni wazi mama mkwe ni shida tena kubwa!
Na labda anafanya hayo kwa kujua mwanaye ( mume) ... ni nguzo yake!
Wanawake inahitajika hekma kubwa sana kuwa nao sawa!
 



Mambo ya kimila yasiyo na umuhimu sio ya kuyaendeleza kulikuwa na haja gani kumlazimisha akajifungulie kwenu labda kama sababu kuu ingekuwa huduma za afya za kuridhisha na mtu wa kumtunza baada ya kujifungua.

Huwa naona wengi huwa na amani kuhudumiwa na watu waliowazoea hapa mama yake alikuwa na nafasi hiyo kuliko mama mkwe wake.
 
Heeeeee umejuaje?? Mama yake n mchaga n baba ake ni muha!!
Umeyakanyaga kaka hao watu ni kichefuchefu sitaki kuwasikia hata mm niliwah kuingia mkenge kwa hao watu ila baadae nikajinasua.
Inahitaj akili nyingi sana kuishi nao.
Ukiwa mnyonge tu umeumia
 
Nimefatlia ulivyojieleza na unavyojieleza, si bure kuna kitu nyuma ya pazia!! Mungu awape Hekima katika Hili!!
Mimi nishaelewa tayar kinachosumbua kwa huyu jamaa.
Huyu jamaa ameoa mchaga na Kama unavyojua wachaga huwa hawana mahaba ya kweli zaidi ya kufikiria pesa.
Kwa hiyo lengo lao ilikuwa ni kumchuma pesa lkn wameshinda kumvuna pesa yaani jamaa yuko macho kwenye mambo ya pesa,Sasa hapo ndio wanaumia na wanatafuta mbinu mbadala ya kumpiga pesa.
Kwa hyo mchezo ambao wanataka kumchezea Ni kwamba waachane halaf mwanamke aondoke na watoto ili aanze kudai pesa ya kujikimu watoto kila mwezi na huo ndio mtego wake.
Sasa wachaga huwa dawa yao ni kwenda nao kibabe hadi wachoke wenyewe.
Kwa mfano ingekuwa ni mm hakuna kutoa talaka akichoka aondoke yeye aache watoto waendelee kuishi nilipo.Full stop
 
Asante saaana dada,,,wanaume tuna udhaifu wetu,,anapojiapiza kwamba atanikomoa nawaza saaana amejipanga kwa njia gan??
Atakukomoa kitandani......we nenda kachukue mke wako.....mfundishe adabu,
Yani unamchapa kwa maneno tu.....alafu

Acha tabia ya kususa hiyo ndo inakuumiza
 
Mkuu maelezo yako inaonesha hayako wazi sana..funguka kabisa ushauriwe vyema... .

1.Hakuna sababu ya mkeo kukaa kwa mama yako
2.Inaonesha wazi hapo kuna visa vilianza kabla ya yote hayo.
3.Mkeo alipogundua una chepuko..tena la kabila moja ndipo shida ikaanza ..hapo jumlisha na kukaa kwa mamkwe.
4.Pengine mama yako anamsumbua mkeo kwa vile si wa kabila lake.
5.Inawezekana hilo chepuko lako lina fahamiana na mama yako...kabila moja ...ujuwe hapo ni mkeo atoke aolewe ..wa kunyumba!
6.Wanyaki wa kike wana mbinde sana hivyo mkeo yuko shidani na hana wa kumsaidia hapo kwenu, ndio maana anashitakia kwao na wazazi wake lazima watakasirika!
7.Jinsi ulivyochagua ya kutujuza...ni wewe umeshaelemea kwa kimada zaidi so hapo unataka watoto tu na si mama yao
8.Alikwenda kazini..baada ya kuona atakosa hata chai.
9.Unaishi mbali kwa vile kasema atakukomoa tu wakati mkigombana au kwa vile unasosomola na li kimada wazi wazi na uzuri?
10.Unajua mzizi na chanzo lakini umefunika au unavipotezea...tayari una lengo umepanga..hapo ni unavutia mda wa kulivua bila wewe kuonekana una hatia!
11.Jitoe kwanza boriti kwenye jicho lako...halafu ndio umtoe na mkeo
12.Chanzo cha shida hizi ni wewe na wewe ndie utayesuluhisha..ama kujirekebisha ndoa idumu au kuendeleza ligi na mkeo..ili ndoa ife uvute chepuko
Kuwa mkweli na amua moja usimtese dada wa watu kiasi hicho...akipata msongo wa mawazo hatakuwa mlezi mzuri!
13.Huo mchepu wako huishi nao kinyumba? tueleze!
14.Sidhani kama hao wakwe zako wanafanya hivyo kuvunja ndoa ya bint yao kisa vihela.. vyako
15.Kama kweli una mapenzi na mke na wanao basi hii sio sababu ya kuvunja ndoa!
 
Uko sahihi 100%
 
Tunapo waasa msidhubutu kupiga magoti hasa mnapo wavisha pete nyny akili mnakua mmesha zitoa vichwani mwenu mmewakabidhi..

Haya ndio matokeo yake..
 
Mimi ni mpole sana kiuhasilia lakini mtu yeyote akitaka kumchukua mtoto kwangu ni kipigo cha mbwa koko hadi kama ni mama mkwe
 
Ni kutokana na taarifa ambazo amekuwa akipewa na mtoto wao ambapo cjui anachombiwa ni nini!!
MANENO YA KUWAINGIZA WAZAZI KWENYE MAMBO YA WATOTO HASA NYIE WANANDOA TENA KWA DHIHAKI KAMA ALIYOTOA MKEO NI LAANA KABISA KIMAADILI KWENYE JAMII YOYOTE ULIMWENGUNI. HAFAI MTU MWENYE DHAMIRA HIYO NDUGU NA ISITOSHE IKAWA MALEZI YAKE HUKUCHIMBA KIUNDANI AWALI ATAKUWA NA ITILAFU AISEE, NAFIKIRIA LABDA PINDI AMBAPO UKIWA UMEPATA NA CHANGAMOTO ZA KIAFYA AU KUSHINDWA KUZALISHA MALI KAMA AWALI HUYO MKEO ATAKUCHUKULIA VIPI KAMA SASA ANAWEZA KUJIFANANISHA NA MAMA YAKO MZAZI!!
 
nahisi na ww kutakuwa kuna kitu umekosea ndio maana yote hayo yametokea,kwanza utamuachaje mkeo nyumbani kwenu na mama yake mkwe kwani huyo mke ulimuolea mama au wa kwako ndio maana unapo oa inatakiwa ujitathimini km una uwezo wa kujitegemea,tena unasema mkeo alikuwa analazimisha muishi naye yuko sahihi kabisa kwanini usingehamishia family sehemu uliyokuwa unafanyia kazi?umelivuruga mwenyewe ukiona mchepuko ndio wa dili kuliko mkeo mliyezaa naye watoto oa huo mchepuko nao upelekee ukaishi na mama yako halafu ww ubaki mwenyewe kazini uone km mtadumu
 
Yani umeandika vyema especially hiyo #3 naomba nikuunge mguu kabisa.

Yani umbwage mkeo kwa wazazi wako; wewe unadananda kwa ndugu; ni kwamba hana hela ya kodi au kuna tatizo? (Though naona kabisa hapa kodi sio shida kwake). Shida yote hiyo ya nini kumkosesha uhuru mkewe kwa wakwe zake? And of course wanawake wa kinyaki ni controlling kama tu walivyo wachaga; so naimagine mtifuano humo ndani

Afu jamani siku hizi mambo ya uzazi kila mume apambane na mkewe; azalie hapo hapo nyumbani kwao; kama atahitajika uangalizi basi huyo muangalizi aje hapo hapo nyumbani. Mambo ya kulazimishana sijui mila za kwetu zinatakaje tuyaache.
 


Mwenzangu nako siku hizi kuna wanaume basi.................. Basi bora liende............ mwanaume hata wajibu wake hauelewi kabisa

Mimi kukaa kwa wakwe ni mwiko kabisa sithubutu wala kujaribu sitaki shida kabisa tunakaa ile ya hamu ama week, mwezi basi mambo ya kudhalilishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…