mwambyetete
Senior Member
- May 17, 2018
- 132
- 202
- Thread starter
- #141
Asante saaana kakaHapo ndipo penye tatizo lako!
Inaonekana unawapenda sana watoto wako kitu ambacho ni kizuri lakini wao wamechukulia huo kama udhaifu wako na wamepata pa kukukamatia!
Mazingira gani mabovu kama binadamu wengine wanaishi?
Piga moyo konde,
Saingine mtoto akililia wembe mpe!
Waache wakae hata Mwaka watakukumbuka na kutaka kurudi kama ni damu yako haitapotea!