Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Hahahahahahahah umeona sasa tena kwa kiburi huwa Wanahamia nyumbani ili wakusumbue vizuri.....Yaani acha, nina rafiki ameolewa kwasababu kijana alikazania kumuoa ni wale watu wameanza maisha pamoja mpaka wakafanikiwa....mama mkwe hakuwa amempenda kwasababu aliolewaga na mume wa kabila la huyo dada wakaachana na akamuachia watoto akalea...so hakutaka kijana aoe huko...huyo dada anateseka mpaka imefika mahali anawaza kuachana na mume...mama mkwe kahamia nyumbani na kila kitu cha familia ana control hadi nini kipikwe na kwenda sokoni...dada akivaa nguo pya mama mkwe anaitisha kikao kwamba mwali anafuja hela
Bibi yangu mwenyewe alimsumbua sanaaa bi mkubwa sababu hakutaka mzee amuoe mama... Bibi alishamchagua mwanamke wake dingi akaoa tofauti na kipenzi cha Bibi weeeeeeee..... Yule Bibi alikuwa haishiwi visa kila uchwaooo mpaka mamy akaondoka