Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

Hahahahahahahah umeona sasa tena kwa kiburi huwa Wanahamia nyumbani ili wakusumbue vizuri.....

Bibi yangu mwenyewe alimsumbua sanaaa bi mkubwa sababu hakutaka mzee amuoe mama... Bibi alishamchagua mwanamke wake dingi akaoa tofauti na kipenzi cha Bibi weeeeeeee..... Yule Bibi alikuwa haishiwi visa kila uchwaooo mpaka mamy akaondoka
 
I agree hapo kwenye kutamka hivyo huyo dada alikosea,..ila honestly kuna mama wakwe ambao they make marriages terrible
Bila kujali mama yangu amemuambia nini, ikitokea mwanamke akanitamkia kauli kama hiyo, hakika nitabadili maisha yake kwa namna ya kipekee sana!

In short, amemaanisha jamaa analala na mamaake pia!
 
Naamini wewe unajua tatizo lilipoanzia.Rudi nyumbani na uanzie halo kurekebisha nyumba yako.Nenda taratibu kuifinyanga nyumba yako,inaonekana kuna mlango uliuwacha wazi na ndio uliotumika kuwaingiza wanaoiharibu nyumba.
Kwa kuwa unawajali watoto wako ninaamini utawalinda.Usimchukie mtu uliyempa nafasi ya kujenga nae familia.Mtu aliyekubali kupoteza sifa zake kwa ajili ya kukupa wewe heshima ya kuitwa baba.Kuwa na ujasiri wa kujenga kesho ya watoto wako.Hayo yako madogo tumekutana na makubwa zaidi ya hayo lkn ndoa bado zipo.
Nakushauri jilazimishe kumpenda mkeo,badili mabaya yake kuwa mema yake yakupe nafasi kuibadili nafsi yake.Ukiweza kubali kuwa haya ni mapungufu ya mke wako,yatatue moja baada ya mengine kwa lugha nzuri na matendo mema.
Mwambie Mungu naomba unilindie ndoa yangu,naomba unitenganishe na maadui wa ndoa yangu,Mungu nisaidie kunijengea familia yangu. Mungu hatakuacha atakupa mkono utakaokuvusha.
Rudi nyumbani na umpende mkeo kama hakuna lililotokea.
Waonbe radhi wakwe zako kwa ulipowakosea ,ni ngumu lkn ndio dawa ya kukuvusha.Usibishane kwa kuwa wewe hujajipanga kwa ugomvi huo
 
I agree hapo kwenye kutamka hivyo huyo dada alikosea,..ila honestly kuna mama wakwe ambao they make marriages terrible
Sure, binafsi siwezi ruhusu wazazi kuingilia ndoa yangu. Ila mke wa huyu jamaa amekosa adabu kupitiliza!
 
Inategemea na tabia za huyo mama mkwe... Aeleze mama yake ana shida gani na mkwewe.... Wakwe wa sikuhizi we wasikie tu
Cwez kumtetea mama angu lakin mgogoro ulianza wakati wa ujauzito wa kwanza amabapo wao hawakutaka mtoto wao aje ajifungulie kwetu ambapo hapa kila kabila na mila zao, ambapo akiwa huku kwetu alianza kutoa taarifa ambazo sio za kweli!! Wazaz wake wazaz wake wakaanza kama kutuchukia bila ya kudhibitisha madai ya mtoto wao,,tulipokaa kikao cha kwanza ndio ikathibitika kuwa haikuwa kweli lakin bado wazaz wake wakaendeleza hiyo mambo
 
Pole mkuu
 
Ndoa ni ya wawili. Wakishaanza kuingialia wazazi wa pande zote. Lazima mavurugano yatakuwepo. Natamani wanawake wote wangekuwa kama mimi. Mimi tukikosana na mme wangu huwa yanaishia ndani. Nasali sana na kupata amani ya moyo. Pia humweleza mme wangu wazi wazi kama kuna kitu hakinipendezi kwake. Ongea na mkeo kwanza.Mwambie ndoa ni ya wawili. Wewe na yeye. Ajifunze na wewe ujifunze kumaliza migogoro yenu wawili. Pia ulikosea kumpeleka kwenu. Mrudishe mkeo kwako.
 
Asante saaana,,sakimbia nyumba!! Awali tulikuwa tukiisha dar ambako mm nilikuwa kikaz tu yy akiwa ndio kwao yaani wanakoishi wazaz wake,sikuwa na tabia ya kuwapelekea vitu vyovyote kwan uwezo wa kijikimu wanao ,,tukiwa katikati ya migogoro hiyo ndipo nilipohamishiwa mbeya kikaz ambapo mm nikiwa na mkoani kwetu,baada ya kufika huku sikuwa na sehem ya kufikia ambapo tulifikia nyumban kwetu kwa nia kuwa baada ya kupata nyumba nichukue familia,bahati mbaya nyumba ya ofis ambayo nitapatiwa ipo kwenye matengenezo makubwa ni zile za mkoloni hivo mm nimejishikiza kwa ndugu ili nyumba ikiwa tayar nichukue familia sasa nikiwa bado nasubir ndio anatoa vitisho kwamba atanikomoa kumbuka amewahi kwenda kazin kwangu kutoa tuhuma za uongo!! Je najua atanikomoa kwa njia gan??
 
Suala la mchepuko n kweli nnao lakin hakufanya nishindwe kutimiza majukumu yangu,pia mm kuwa na mchepuko kulichangizwa na yy (sijitetei) akawa hanifulii nguo ,hanipikii kabisa unadhan ningefanyaje?
 
Wewe jua hapo kuna mwezako nyuma yenu tafuta MTU mwengine
 
Mim ni mkristo,,uyasemayo ni kweli kabisa kaka,ndio maana nimeomba ushaur wa kisheria tutakapoachana nijitetee vip ili watoto nibaki nao kwa ustawi wa afya yao!! Kuhusu kuachana nataman saaana ila hofu yangu n wanangu kuhusu upendo alipotamka kwamba mama pia n mke wangu upendo wangu kwako umesoma negative n dharau kubwa
 
Kama hujaficha kitu chochote, wewe achana nae usideal nae kwa kitu chochote na kuwa makini sana ila endelea kuhudumia watoto wako

Kiburi kitampeleka ustawi wa jamii na hapo ndo patamu!
 
Siamini kama mpaka vikao nane vimekaa kutokana na maelezo yako huyo mwanamke bila sababu anakua mkaidi. Nahisi kuna upande wa pili wa stori ambao hujaweka wazi. La sivyo familia ya ulikooa ina shida
Sina nilichoficha ,,napenda kueleza ukweli ili mnishaur katika hitaj langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…