Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
nashukuru kwa ushauri wenu dada zangu mlionishauri niongee nae pia nivumilie mungu awabariki cna
tukiijustify au tusiijustfy, cheating is there to stay! sasa ninachoongelea kwamba kwa mantiki ya kuumizana hisia cheating haikubaliki, lakini cheating hiyo hiyo inatumika kwa mantiki ya kutuliza hisia. kumbuka, hisia ndizo zinakutuma uowe au upende na hisia hizo hizo ndizo zinakutuma ucheat, sasa hapo ndio balaa!. All in all waaminifu ni wachache sana hii dunia ya leo, hapa JF usishangae pengine waaminifu tuko watatu tu, mimi, Mbu na Aspirin.
sasa hao ndio ma sterling wa hiyo "vumilia" utaambia kuolewa bahati mwanangu cjui wengine wanatafuta ndoa hawapati, cjui ki2 gani na ki2 gani so mwanangu wee vumilia tu, i hate hilo neno mpaka bac, nivumilie niifurahishe jamii huku nafc inalika?...kila kitu kina kiac jamni, hata uvumilivu una mwisho wake, kila ndoa uvumilivu unahitajika kiac kikubwa, huku ndani tunavumilia mengi ndio mana bado tunazo hizo ndoa, hakuna ndoa icyo na mapito lakini kila kitu kina kiac, mdada mtoa mada chekecha akili yako mapema hii, ukiamka kesho Mungu akujalie uwe umepembua hiyo akili na kujua unataka nn maishani au unataka kuishi nmaisha hayo hayo au unahitaji mabadilko....goodluck!
yey ana miaka 45 yaani kwake ndiyo kumekucha na visichana ananiboa mpaka basi,
yey ana miaka 45 yaani kwake ndiyo kumekucha na visichana ananiboa mpaka basi,
habari wana jamii forms, napenda mawazo yenu na michango mnayotoa humu,,mimi ni mama wa mtoto mmoja nina miaka 23
naomba msaada jamn,nina mume ambaye nipo nae kwa miaka sita na nimezaa nae mtoto mmoja, kiukweli huyu kaka ni malaya cna kutokana na tabia yake hapo nyuma kwani aliowa wake 2 kabla yangu na wakaachan akidai hawafai walikuwa na tabia mbaya
ameshanisaliti mara nyingi sana mpk sasa na ushahidi nikapata lkn aliomba msamaha coz nlikuwa bdo nampenda tukaendelea na maisha,,
hivi sasa kanikataza kushika simu yake yaani tunagombana kila siku, kuna siku nilikuta kamtumia binti fulani pesa kwa njia ya m-pesa nilipomuuliza ni nani tuligombana cna akadai ni mama wa mtoto wake,, lakini nilichunguza nikakuta ni uongo kwani namba ya mzazni mwenzake naijua na hawezi kumuita mpenzi kwani huyo mzazi mwenzake keshaolewa,,
nilimpigia huyo binti nikamuuliza yeye ni nani lakini matokeo yake alinitukana akaniambia sijaona wanaume nini???akasema yy hakumtongoza mume wangu bli mume wangu ndiye aliyemtongoza kiukweli niliumia cna nikalia mpaka nikachoka,,nikataka nirudi kwetu lakini nikaenda kwa mama mmoja rafiki wa familia akanishauri nisiondoke nikae nivumilie,,
kwa upande mwingine huyu mume wangu ananijali na familia kwa ujumla lakiniatatizo ni umalaya,,
natamani hata nitoke jne coz na mm najijua ni mzuri bado nafikiria nahitaji mawazo yako.
Isipokuwa hii point ya mwisho ambayo sikuifahamu, nafikiri hutopata ushauri mzuri zaidi ya huu pamoja na wa Nyamayao. Fikiri bado umdogo sana. Ukisema uvumilie na kama utaishi angalau miaka 60, maana yake mbele kuna miaka 37 ya kuvumilia. samahani kwa lugha ya ukali, lakini "hivi wewe huna kwenu?". Usijali pesa yake, usijali "ananijali" kwa pesa yake ya maudhi. Jali heshima yako, furaha yako, utu wako. Na ikiwa bado utang'angania hapo, ANGALAU ANZA KUTUMIA KONDOM, vyenginevyo.....usipoziba ufa utajenga ukuta.wale wanaosema avumilie: Hivi mpaka apelekewe kile kirusi chenye herufi tatu ndio mtamshauri atimue?
Ushauri wangu:
-achana na hiyo ndoa haraka iwezekanavyo, as per ur story, hiyo njemba tayari ina historia mbovu so hauwezi kumbadilisha wewe. Ulikosea in the first approach lakini hauwezi kurejesha kalenda nyuma.
-Hiyo njemba kuna weakness amegundua kwako na anaiabyuzi hiyo weakness. think abt it!
-Achana na sjui anajali jamaa zako sijui anakupeleka shopping blah blah blah, as long as hajali hisia zako, He is useless. kilichowakutanisha ni hisia na sio kutembelea shangazi na mjomba.
-am sure hapo ulipo umeanza kunyonyoka manywele kwa stress, sasa whats the point?
NB: kujali hisia za mwenza ni muhimu hata kama unacheat.
-----------------------THE END-------------------
mbona hapo kwa umri wenu ungekuwa unakula bata maana wewe 23 yeye 45 kashaona mengi inakuaje,huyu ni tabia yake itakuwa ngumu kweli kumbadili usiache kumuombea lakini mwisho wa siku mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe.
yey ana miaka 45 yaani kwake ndiyo kumekucha na visichana ananiboa mpaka basi,
Wenye umri kubwa siku hizi tofauti na zamani wanakuwa na mapafu ya mbwa.
Kuna jamaa angu ana 50yrs huwa anapiga hati trick kwa siku yaani anamega wanawake 3 tofauti tofauti.
kweli mfumo dume unatusumbua sana!kama hii thread ingekuwa imeanzishwa na mwanaume...... Wanachama wake kwa waume humu tungeshauri 'mbwage, kimbia kimeo ect'.
Hii vumilia vumilia tunayoshauriana is so relative, mwanaume malaya unamvumiliaje?
Za kuambiwa changanya na zako bidada, una umri mdogo sana kufa kwa maradhi ya kuletewa.