Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Pole sana dada huyo mumeo ametake advantage maana uliolewa ukiwa mdogo sana ana umri gani yeye si ajabu ni libaba lizima maana ameshaacha wake wawili.
My dear make up your mind mapema kuijali familia isiwe kigezo cha wewe kubaki than baadae utoe machozi, wewe bado mdogo u can start afresh na maisha yakawa swafi, songa mbele mdogo wangu mtoto mmoja hatakushinda, single parents tuko wengi sana na maisha tunayamudu bila vikwazo.