Ndoa ni sanaa
NAKAZIANdoa ni sanaa
Wachache.Ukipata mtu anayeweza ishi vizuri na nduguze au mtu Baki....hapo umewin...haihitaji akili nyingi sana
Ndo shida inaanzia hapo...Kama mtu hawezi ishi na mtu Baki atawezaje kuishi na mke au mumeWachache.
Mke au mume ni watubaki kulingana na upande uliopo.
Ni kweli Akili!Ndoa ni jambo jema hakua jambo zuri ambalo halihitaji akili sio kila mmoja anaweza ndoa ,kuna mataifa viongozi hupimwa kwa ndoa kama huwezi kuhadle ndoa utaweza kumuongoza nani ?.
Ndoa ni sanaa hakuna sanaa bila akili ,ndoa huhitaji kufikiri kila siku ,kila saa wapi na nini nifanye inahitaji updates zisizo na ukomo
Sizingumziii akili za darasani hapa ni akili za kitaa.
Wale kataa ndoa waje wasome waelewe.
USSR
Hili ni tatizo kundi kubwa la watu wanalazimisha kwa kuwa ndoa ni kama utamaduni katika jamii ya watu.Ndo shida inaanzia hapo...Kama mtu hawezi ishi na mtu Baki atawezaje kuishi na mke au mume
Yeah,kabisakabisaHili ni tatizo kundi kubwa la watu wanalazimisha kwa kuwa ndoa ni kama utamaduni katika jamii ya watu.
Ila kuna kundi dogo hawafanyi kwa kulazimisha hivyo ndivyo walivyo.
"Mimi siwezi kuishi na wewe kwa sababu nina misingi yangu ya maisha na wewe una misingi yako ya maisha sipo tayari kutoa kafara uhuru na misingi yangu ya maisha kwa sababu yako wewe au jamii niwafurahishe hapa ndipo penye tatizo".