Ndoa inataka akili nzuri

Ndoa inataka akili nzuri

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Ndoa ni jambo jema hakua jambo zuri ambalo halihitaji akili sio kila mmoja anaweza ndoa ,kuna mataifa viongozi hupimwa kwa ndoa kama huwezi kuhadle ndoa utaweza kumuongoza nani ?.

Ndoa ni sanaa hakuna sanaa bila akili ,ndoa huhitaji kufikiri kila siku ,kila saa wapi na nini nifanye inahitaji updates zisizo na ukomo

Sizingumziii akili za darasani hapa ni akili za kitaa.

Wale kataa ndoa waje wasome waelewe.

USSR
 
Ukipata mtu anayeweza ishi vizuri na nduguze au mtu Baki....hapo umewin...haihitaji akili nyingi sana
 
Wachache.

Mke au mume ni watubaki kulingana na upande uliopo.
 
Ndoa ni jambo jema hakua jambo zuri ambalo halihitaji akili sio kila mmoja anaweza ndoa ,kuna mataifa viongozi hupimwa kwa ndoa kama huwezi kuhadle ndoa utaweza kumuongoza nani ?.

Ndoa ni sanaa hakuna sanaa bila akili ,ndoa huhitaji kufikiri kila siku ,kila saa wapi na nini nifanye inahitaji updates zisizo na ukomo

Sizingumziii akili za darasani hapa ni akili za kitaa.

Wale kataa ndoa waje wasome waelewe.

USSR
Ni kweli Akili!
 
Ndo shida inaanzia hapo...Kama mtu hawezi ishi na mtu Baki atawezaje kuishi na mke au mume
Hili ni tatizo kundi kubwa la watu wanalazimisha kwa kuwa ndoa ni kama utamaduni katika jamii ya watu.

Ila kuna kundi dogo hawafanyi kwa kulazimisha hivyo ndivyo walivyo.

"Mimi siwezi kuishi na wewe kwa sababu nina misingi yangu ya maisha na wewe una misingi yako ya maisha sipo tayari kutoa kafara uhuru na misingi yangu ya maisha kwa sababu yako wewe au jamii niwafurahishe hapa ndipo penye tatizo".
 
Yeah,kabisakabisa
 
Back
Top Bottom