OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Pingili hilo mwambie akavae pete siku huyo mkewe atatoka mbio katikati ya game
samahani sijakuelewa mkuu!
Kwani na wewe unahili tatizo?
tatizo apo naona maandalizi ndio hafifu maana wanaume wengi hujijali wenyewe bila kuwaza hisia za wenzi wao.
jaribu kukaa na mkeo na ujue ni vipi anapenda kutendewa na sehemu gani za mwili akishikwa ananye.......ka.
JF Dokta ndio jukwaa makini kuliko yote JF.Jamani mpangaji wangu ameniletea kesi ya ajabu sana.Huwezi amini anavyoishi vizuri na mkewe kwa nje.Lakini hakuna amani kuna utulivu tu.Jamaa anasema mkewe hajampa unyumba mwezi wa 6 huu.Anasema uke wake mdogo sana,kiasi cha kumletea maumivu wakati wa tendo.Mda mwingine analazimisha tendo anaachiwa,lakini kinafata kilio mpaka anachomoa mwenyewe.Jamaa nikamuuliza pengine ana uume mkubwa,hapana!Sasa wadau nini tiba au jinsi gani ya kupunguza tatizo
Wengi hawatumii mida mrefu kwenye romance, aisee inaudhi sana. Mtu anaparamia kama mti
JF Dokta ndio jukwaa makini kuliko yote JF.Jamani mpangaji wangu ameniletea kesi ya ajabu sana.Huwezi amini anavyoishi vizuri na mkewe kwa nje.Lakini hakuna amani kuna utulivu tu.Jamaa anasema mkewe hajampa unyumba mwezi wa 6 huu.Anasema uke wake mdogo sana,kiasi cha kumletea maumivu wakati wa tendo.Mda mwingine analazimisha tendo anaachiwa,lakini kinafata kilio mpaka anachomoa mwenyewe.Jamaa nikamuuliza pengine ana uume mkubwa,hapana!Sasa wadau nini tiba au jinsi gani ya kupunguza tatizo
Kwani na wewe unahili tatizo?
Hata wewe huwa unapata maumivu kama huyo ?
Sina cha kuandika