Ndoa inataka kuvunjika,kisa uke mdogo

Ndoa inataka kuvunjika,kisa uke mdogo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
JF Dokta ndio jukwaa makini kuliko yote JF.Jamani mpangaji wangu ameniletea kesi ya ajabu sana.Huwezi amini anavyoishi vizuri na mkewe kwa nje.Lakini hakuna amani kuna utulivu tu.Jamaa anasema mkewe hajampa unyumba mwezi wa 6 huu.Anasema uke wake mdogo sana,kiasi cha kumletea maumivu wakati wa tendo.Mda mwingine analazimisha tendo anaachiwa,lakini kinafata kilio mpaka anachomoa mwenyewe.Jamaa nikamuuliza pengine ana uume mkubwa,hapana!Sasa wadau nini tiba au jinsi gani ya kupunguza tatizo
 
Pingili hilo mwambie akavae pete siku huyo mkewe atatoka mbio katikati ya game
 
Mimi sio dokta, ila mshauri huyo jirani yako(pengine ni wewe mwenyewe) ajaribu kutumia lubricants wakati wa tendo.
 
tatizo apo naona maandalizi ndio hafifu maana wanaume wengi hujijali wenyewe bila kuwaza hisia za wenzi wao.
jaribu kukaa na mkeo na ujue ni vipi anapenda kutendewa na sehemu gani za mwili akishikwa ananye.......ka.
 
inawezekana dada mgonjwa au jamaa hajui kuandaa menu
 
tatizo apo naona maandalizi ndio hafifu maana wanaume wengi hujijali wenyewe bila kuwaza hisia za wenzi wao.
jaribu kukaa na mkeo na ujue ni vipi anapenda kutendewa na sehemu gani za mwili akishikwa ananye.......ka.

Wengi hawatumii mida mrefu kwenye romance, aisee inaudhi sana. Mtu anaparamia kama mti
 
JF Dokta ndio jukwaa makini kuliko yote JF.Jamani mpangaji wangu ameniletea kesi ya ajabu sana.Huwezi amini anavyoishi vizuri na mkewe kwa nje.Lakini hakuna amani kuna utulivu tu.Jamaa anasema mkewe hajampa unyumba mwezi wa 6 huu.Anasema uke wake mdogo sana,kiasi cha kumletea maumivu wakati wa tendo.Mda mwingine analazimisha tendo anaachiwa,lakini kinafata kilio mpaka anachomoa mwenyewe.Jamaa nikamuuliza pengine ana uume mkubwa,hapana!Sasa wadau nini tiba au jinsi gani ya kupunguza tatizo

aupeleke uke kwa wataalamu wakaukuze kwenye maabara
 
Ndo maana ya ku shake before use wala haya mambo yasingetokea!!lakini hii stori imekaa kinadharia zaidi
 
JF Dokta ndio jukwaa makini kuliko yote JF.Jamani mpangaji wangu ameniletea kesi ya ajabu sana.Huwezi amini anavyoishi vizuri na mkewe kwa nje.Lakini hakuna amani kuna utulivu tu.Jamaa anasema mkewe hajampa unyumba mwezi wa 6 huu.Anasema uke wake mdogo sana,kiasi cha kumletea maumivu wakati wa tendo.Mda mwingine analazimisha tendo anaachiwa,lakini kinafata kilio mpaka anachomoa mwenyewe.Jamaa nikamuuliza pengine ana uume mkubwa,hapana!Sasa wadau nini tiba au jinsi gani ya kupunguza tatizo

Hebu katesti ya kwako kisha utuletee jibu imemuumiza?
 
mshauri waende kwa daktari wa magonjwa ya wanawake atawashauri cha kufanya....km kutumia lubricant kama KY jelly, kuvaa pete ama mume kuacha ' ukurya'ama 'umorani' kwenye fani.
 
Back
Top Bottom