Ndoa Kabambe Nchini Kenya

Ndoa Kabambe Nchini Kenya

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Msanii maarufu wa nyimbo za Injili nchini Kenya Guardian Angel mwenye umri wa miaka 30, amemvalisha Pete ya uchumba mpenzi wake Esther Musila mwenye umri wa miaka 51.

Bi Esther Musila ni Mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa UN wa kipindi kirefu

Esther Musila yupo kama Kijana tu, anafanya sana Mazoezi.

Screenshot_20210526-175711.jpg
Screenshot_20210526-175615.jpg
Screenshot_20210526-175514.jpg
 
Akina dada wengi wanaofanya kazi mashirika ya kimataifa huwa hawaolewi, wanaishi maisha ya kizungu kutamani kazi kuliko mahusiano, wanatafunwa na watu wa kimataifa ambao wameacha familia kwao , wanakuja kushtuka mautamu yote yameisha
 
Esther Musila yupo kama Kijana tu, anafanya sana Mazoezi Ila Kuna Pipo wapo blessed imagine Zari kazaa watoto 5 lakini kama Mwali vile.
 
Yaani sielewi kwa nini ameoa Chuma chakavu namna hii. Hapa hakuna mapenzi
 
Sema mama anajitunza aisee. Anazidi wasichana wengi walio na 30. She looks younger. Mama anakula pesa za UN hana stress
 
Akina dada wengi wanaofanya kazi mashirika ya kimataifa huwa hawaolewi, wanaishi maisha ya kizungu kutamani kazi kuliko mahusiano, wanatafunwa na watu wa kimataifa ambao wameacha familia kwao , wanakuja kushtuka mautamu yote yameisha

Aha haaa
Huyu dogo anachukua bibi iliyopita koma hedhi. Sema hawa watoto huwa hawaulizi. Wanajua shughuli ya kumridhisha huyo kibibi.
🤣🤣🤣
Hao ndiyo mpaka uchemshe dawa.
Huyu dogo mpaka afike miaka 40 atakuwa amebakia mifupa tu. Halafu kila sehemu inauma.
 
Aha haaa
Huyu dogo anachukua bibi iliyopita koma hedhi. Sema hawa watoto huwa hawaulizi. Wanajua shughuli ya kumridhisha huyo kingono.
🤣🤣🤣
Hao ndiyo mpaka uchemshe dawa.
Huyu dogo mpaka afike miaka 40 atakuwa amebakia mifupa tu. Halafu kila sehemu inauma.
Halafu kijana anaangalia urithi wa pesa tu huku amesahau kuwa hatapata watoto kwenye hio ndoa. I hope yeye ni mjanja ana mpango wa kando anayemzalia watoto huku akidanganya hiki pandikizi la ndizi kwamba hana mchumba mwingine nje ya ndoa.

Lazima awe na option B wa kumzalia mtoto la sivyo ataregret baadaye. Hawa Wanyanya unaweza kumpatia kijiti tu maana wao wanataka kupewa kijiti na kijana mdogo ila lazima kijana ajipange mapema.
 
Halafu kijana anaangalia urithi wa pesa tu huku amesahau kuwa hatapata watoto kwenye hio ndoa. I hope yeye ni mjanja ana mpango wa kando anayemzalia watoto huku akidanganya hiki pandikizi la ndizi kwamba hana mchumba mwingine nje ya ndoa. Lazima awe na option B wa kumzalia mtoto la sivyo ataregret baadaye. Hawa Wanyanya unaweza kumpatia kijiti tu maana wao wanataka kupewa kijiti na kijana mdogo ila lazima kijana ajipange mapema.
Unajua ujana ni maji ya moto, na ukiupita bila kuumia, sifa ziende kwa Mualana. Maana kuna maamuzi unafanya, mpaka watu wazima wanakushangaa. Mama yako mzazi analia kwa uchungu.

Wee leo hii unaanza kuling'ang'ania libibi limekula ujana hukoo, badala ya kula uzee na wazee wenzake, linaenda kubaka watoto wa wanawake wenzake.

Sema tu, nao vijana wa siku hizi wanapenda sana kulelewa. Utakuta lina nguvu tu, kazi kubeba mijimama mikongwe.
Hawafikirii hizo nguvu kuna kipindi zitaisha, halafu huna watoto.
🤣😁🤣
 
Back
Top Bottom