Ndoa Kabambe Nchini Kenya

Ndoa Kabambe Nchini Kenya

Hii ngoma kama hujaomeshwa cheti chake cha kuzaliwa ni ngumu kukubali kama yuko 51(fifte wan)

Mi kama 30+ na ngom fulani hv.
 
Hii ngoma kama hujaomeshwa cheti chake cha kuzaliwa ni ngumu kukubali kama yuko 51(fifte wan)

Mi kama 30+ na ngom fulani hv.
 
Hakuna formula ya maisha kama wanapendana sawa.
Labda siyo mzazi, ndiyo maana unaongea hivyo. Wewe wazia una kijana wako ana miaka 29, halafu anabebana na limama rika sawa na wewe.
🤣 🤣 🤣
 
Unaoa mtu ambaye ni post-menopousal..biashara hii.

Kwanza kule hata maji hamna, huyu dogo atakuwa anapiga bao la tatu, huyu kibibi hata mashine haijawaka. nyakati nyingine inazima kabisa.

Huyu dogo, anaacha wa rika lake, ambao ukigusa tu kidogo kunako m'm'm mafuriko tayari, unamaliza raundi zako, naye yuko fiti anahema tu. Sasa huyu bibi kizee kukavu kama darini 🤣 🤣 🤣. Halafu utakuta wewe unamaliza, yeye ndo kaliamsha.

Sasa wewe kwa sababu una miaka 30, nguvu zipo za kutosha, unaanza kumgawia dozi. hiyo ni hatari, ukifika miaka 40 tu, biashara yako kwisha. Halafu hata mtoto unakuwa huna. Kwa sababu huyo bibi kizee hawezi kuzaa. 😂🤣
 
Hii ngoma kama hujaomeshwa cheti chake cha kuzaliwa ni ngumu kukubali kama yuko 51(fifte wan)

Mi kama 30+ na ngom fulani hv.
Hawa nyanya wa siku hizi ambao wana pesa wanapigwa plastic surgery. Yaani wanakwenda USA kufanyiwa upasuaji wa kubadilisha ngozi na kuwafanya kufanana kama wasichana wadogo. Huko USA kuna nyanya wengi wanafanana kama wasichana. Hata nyonyo anaongezewa kabisa inasimama kama bendera ya taifa. Ukiona mat*ti yake unadhani ni msichana mdogo kumbe ni gari nzee lililochakaa.
 
Esther Musila yupo kama Kijana tu, anafanya sana Mazoezi Ila Kuna Pipo wapo blessed imagine Zari kazaa watoto 5 lakini kama Mwali vile.
“Eat and drink whatever you like, don't allow motivational speakers deceive you.”

1. The inventor of the of the treadmill died at the age of 54

2. The inventor of gymnastics died at the age of 57

3. The world bodybuilding champion died at the age of 41

4. The best footballer in the world Maradona, died at the age of 60.

BUT

5. The KFC inventor died at 94.

6. Inventor of Nutella brand died at the age of 88

7. Imagine, cigarette maker Winston died at the age of 102

8. The inventor of opium died at the age of 116 in an earthquake

9. Hennessey inventor dies at 98.

How did these doctors come to the conclusion that exercise prolongs life?

The rabbit is always jumping up and down but it lives for only 2 years and the turtle that doesn’t exercise at all, lives 400 years.

So,
Take some rest,
Chill, Stay cool, eat, drink and enjoy your life.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hawa nyanya wa siku hizi ambao wana pesa wanapigwa plastic surgery. Yaani wanakwenda USA kufanyiwa upasuaji wa kubadilisha ngozi na kuwafanya kufanana kama wasichana wadogo. Huko USA kuna nyanya wengi wanafanana kama wasichana. Hata nyonyo anaongezewa kabisa inasimama kama bendera ya taifa. Ukiona mat*ti yake unadhani ni msichana mdogo kumbe ni gari nzee lililochakaa.
Ahh!! Kama ni hivyo nakula tu, miaka ipo mifupani huko na cheti cha kuzaliwa [emoji23]
 
Back
Top Bottom