Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
tatizo huwa hawaolewi labda aoeEsther Musila yupo kama Kijana tu, anafanya sana Mazoezi Ila Kuna Pipo wapo blessed imagine Zari kazaa watoto 5 lakini kama Mwali vile.
Kijana kaiona fursa,ila mama bado anadaiJamaa kafata chapaa tu
SanaAna shape nzuri
Akina dada wengi wanaofanya kazi mashirika ya kimataifa huwa hawaolewi, wanaishi maisha ya kizungu kutamani kazi kuliko mahusiano, wanatafunwa na watu wa kimataifa ambao wameacha familia kwao , wanakuja kushtuka mautamu yote yameisha
Halafu kijana anaangalia urithi wa pesa tu huku amesahau kuwa hatapata watoto kwenye hio ndoa. I hope yeye ni mjanja ana mpango wa kando anayemzalia watoto huku akidanganya hiki pandikizi la ndizi kwamba hana mchumba mwingine nje ya ndoa.Aha haaa
Huyu dogo anachukua bibi iliyopita koma hedhi. Sema hawa watoto huwa hawaulizi. Wanajua shughuli ya kumridhisha huyo kingono.
🤣🤣🤣
Hao ndiyo mpaka uchemshe dawa.
Huyu dogo mpaka afike miaka 40 atakuwa amebakia mifupa tu. Halafu kila sehemu inauma.
Unajua ujana ni maji ya moto, na ukiupita bila kuumia, sifa ziende kwa Mualana. Maana kuna maamuzi unafanya, mpaka watu wazima wanakushangaa. Mama yako mzazi analia kwa uchungu.Halafu kijana anaangalia urithi wa pesa tu huku amesahau kuwa hatapata watoto kwenye hio ndoa. I hope yeye ni mjanja ana mpango wa kando anayemzalia watoto huku akidanganya hiki pandikizi la ndizi kwamba hana mchumba mwingine nje ya ndoa. Lazima awe na option B wa kumzalia mtoto la sivyo ataregret baadaye. Hawa Wanyanya unaweza kumpatia kijiti tu maana wao wanataka kupewa kijiti na kijana mdogo ila lazima kijana ajipange mapema.