Ndoa kwa watu wa nchi tofauti

Ndoa kwa watu wa nchi tofauti

HAMISI HH

Member
Joined
Jul 1, 2024
Posts
6
Reaction score
1
Habari. Naomba kufahamu je. Raia wa kenya anaweza kuona mke Raia wa Tanzania na vipi huyo mwanamke anaweza kwenda kuishi kenya kwa uaratibu gani muda wote? Asante
 
Back
Top Bottom