HAMISI HH Member Joined Jul 1, 2024 Posts 6 Reaction score 1 Jan 17, 2025 #1 Habari. Naomba kufahamu je. Raia wa kenya anaweza kuona mke Raia wa Tanzania na vipi huyo mwanamke anaweza kwenda kuishi kenya kwa uaratibu gani muda wote? Asante
Habari. Naomba kufahamu je. Raia wa kenya anaweza kuona mke Raia wa Tanzania na vipi huyo mwanamke anaweza kwenda kuishi kenya kwa uaratibu gani muda wote? Asante