Ndoa Matatani

Ndoa Matatani

naiyo msg e-forward kwako ukaenayo for further refs.
 
jipange uwe na ushaidi wakutisho. awatabiriki awo kesho na keshokutwa atarudi anze kukusumbua tena, be care my friend
 
anasema hanipendi tena na amenizidi kipato hatuwezi kuishi kwa yeye kuleta mapato makubwa home
Achana naye asiji akakufanya kama Lulu alivyomfanya Kanumba. Acha mchezo wa kuchungulia simu ya mwenzio utakufa kabla ya tarehe zako za kuitwa mbinguni.
 
Nisichojua anataka information gani toka tigo? Jina la alotuma message? That is kama halipo kwenye phone book ya wife? Mazungumzo ya nyuma? Ya nini?

Mimi nadhani kama huko makini hiyo message inatosha kabisa kukusaidia kuanza upelelezi wako rasmi. TIGO hawaruhusu kutoa information kama hizo; na tayari mko kwenye ugomvi ni obvious hata mtu akisema akusaidie mwisho wa siku huyo mfanyakazi wa TIGO atajuuta kukufahamu kwani wife wako anaweza kumshataki kwa mabosi wake akafutwa kazi.

Haya mambo ya ndoa haya ni magumu; nna ndugu yangu ni bosi sana tu kwenye moja ya haya makampuni ya simu lakini ana akili athubutu kumsaidia hata ndugu yake tumbo moja kumpa info za mawasiliano ya wife au hubby wake. Kwa sababu experience shows kuwa wana ndoa hawana siri, atasema tu fulani ndo kanambia.
:target:


naiyo msg e-forward kwako ukaenayo for further refs.
 
pole sana ..

lakini sidhani kama kuna ulazima wala umuhimu wa kwenda kupata details za simu ya mwenza wako .. kamaungeweza ungechukua namba inatosha ukamtumia pesa kwa tigo-pesa ukapata jina kamili .. lakin kwa mwanamke akisema hakutaki elewa hakuna ndoa kwani hatakuwa na hisia na wewe .. huna haja ya kujilinganisha kwa kipato au nini elewa hapo hakuna
 
Kama mkeo ndo ameamua kuwa hakutaki tena sioni sababu ya wewe kwenda kutafuta muenendo wa mawasiliano yao. Ukipata data kuwa ni kweli wana uhusiano huoni itakuumiza zaidi?Let her go may be it was never meant to be! Kumngangania mtu asiyekupenda ni sawa na kupanda mahindi jangwani..
Pole sana..
 
Achana naye mwanamke akisha sema hakutaki...ujuwe hakutaki, tafuta size yako.

Afu nyie wanaume wengine sijui mmeka vipi, mnadhani K anayo huyo mwanamke tu...na wengine wanzao tena utapata tamu kuliko hio inayo kuringia.
 
yeye ameajiriwa na ana kipato cha kila mwezi mimi nimejiajiri na kipato sio kikubwa sana kama unavyojua bishara ndogondogo, naomba kujuzwa kama nikienda TIGO watanipa mwenendo wa mawasiliano yao? naomba nijuze hilo mkuu

Sasa uende TiGo ukafanye nini wakati umeambiwa hakupendi?
 
Ndugu,acha kupoteza muda,make mwanamke ashakutamkia na tena mbele za watu kuwa hakutaki,anataka muachane!! ya nini uendelee kubembeleza?? ukilazimisha sana mbeleni utakuja umia na utajuta sana!! kaka usigope maisha,mungu ndo mpangaji,tembea mbele,anza maisha yako kwa mikakati mizuri,utayamudu tu asitie hofu!!! Kila la heri
 
Slogan yangu inasema "mwanamke akinitishia kuachana tu tayari namfuta kwenye moyo wangu" kukaa na mwanamke ambaye sio mwaminifu alafu anadai kuachana ni sawa Kulipasha bomu kwenye blue flame.
 
tumeshakaa amekomaa kuachana, vipi kama nikienda na barua ya kutoka polisi watanipa?

Eeh ukipata ndio itamfanya msiachane? Au unataka kuwa na custody ya watoto baada ya divorce?
 
wewe ni mpelelezi nini???mbona kila unachoambiwa huridhiki na bado unauliza tu???usimwache mkeo,wala usimchunguze sana,kwni akiamua kumegwa,hauna ujanja ndugu,Muombe sana Mungu
 
Hisia zangu zinaniambia kuwa umetudanganya ishu hapa sio kipato kuna mambo hutaki kuyaweka wazi.. Ninachokiona hapa ni kwamba wewe mwenyewe huwajibiki kunako s.sita..mwanamke hawezi kukuacha kama unamridhisha vizuri hata kama huna chapaa.. Make ye anaona hela huna, humgongi vizuri, familia hutunzi sasa afanye nini?..mi nakushauri achana nae, tafuta pesa tunza wanao...kisha jifunze mapenzi sio kila mtu kajaaliwa kujua mapenzi mengi tunajifunza kutoka kwa wakubwa zetu na wanaojua zaidi.
 
Maumivu ya kichwa huaaaaanza poole poooole. WW unafikiri matatizo yako na mkeo chanzo ni jamaa aliyekuchakachulia. Siyo. Tatizo ni mkeo. Huyu ameishakuona wewe siyo wa hadhi yake tena, ndiyo maana akajipoza kwa huyo bazazi. Dawa. Mpige chini. Pili Ongeza bidii kwenye biashara zako wakati huo huo ukimwomba mungu akupe/akutafutie mke mwema.. mimi nilikuwa na matatizo kama yako, nilitafakari na kuchukua hatua. sasa mambo safi.
 
Hello, kwanza nakuomba upunguze hasira na uchungu usiwaze, kweli ndoa unaweza kuikacha sasa uwezo unao kabisa lakini nakuomba fanya haya:
-Mpende mke wako zaidi kwa ajili ya wanao coz ataakiondoka still ni mama watoto wako. kama ni love now its a time. ndiyo muda.
-Usikate tamaa, najua sasa atakufanyioa vitu vya kukata tamaa sana, pia usiende tigo coz kumjua mbaya wako haitakusaidia hila angalia watoto bro.
- Kweli anaweza kuwa na pesa sana, sawa hila kile kidogo ulicho nacho mpende nacho mpe zawadi, na pia wapende watoto ok.
Ukifanya hayo yote yatakusaidia.
 
Back
Top Bottom