Achana naye asiji akakufanya kama Lulu alivyomfanya Kanumba. Acha mchezo wa kuchungulia simu ya mwenzio utakufa kabla ya tarehe zako za kuitwa mbinguni.anasema hanipendi tena na amenizidi kipato hatuwezi kuishi kwa yeye kuleta mapato makubwa home
naiyo msg e-forward kwako ukaenayo for further refs.
yeye ameajiriwa na ana kipato cha kila mwezi mimi nimejiajiri na kipato sio kikubwa sana kama unavyojua bishara ndogondogo, naomba kujuzwa kama nikienda TIGO watanipa mwenendo wa mawasiliano yao? naomba nijuze hilo mkuu
anasema hanipendi tena na amenizidi kipato hatuwezi kuishi kwa yeye kuleta mapato makubwa home
tumeshakaa amekomaa kuachana, vipi kama nikienda na barua ya kutoka polisi watanipa?