sasa kama walivyosema wakuu wengine ni mambo ya maelewano tu,wakubaliane anko kwa wiki mara moja awe anaenda kuyarudi magoma la sivyo akimbana sana nayo ina madhara yake.
mnaweza kumbadili polepole kama umesema huenda club weekend tu iwe siku moja na hili la kunywa kwa kuanzia awe anakunywa home siku 4 na bar siku 3 kwa kuanzia na polepole anaweza kuja na rafiki 1-2 wakanywa home na akazoea.anko magoma kila wkend ila kinywaji ni daily. Ngoja nitafte namna ya kuongea nae.
Hizi sasa ndo typical ndoa za dotcom,ukimwaga ugali namwaga mboga,ukichelewa kurudi nasepa.Mambo magumu sana haya maana inaelekea bi harusi ni wa mujini mujini na bwana harusi hali kadhalika ni wa mujini mujini,kaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli.Watarudiana tu,Husninyo wala usikonde ni kaupepo ka ibilisi kamempitia anti yako,akili ikirudi ataona amefanya upuuzi kuondoka.Ukipata muda ongea na anko mwambie lakini mshikaji(maana pamoja na uanko nahisi ni kijana mwenzio) hii noma mwambie,msisitizie kuwa anamuumiza mwenza wake wakati mwenza anampenda sana,we mpambe tu atajisikia vibaya na huenda akaanza kubadilika taratibu.
watu hadi mnakubali kuishi pamoja nadhani kuna vitu mnakuwa mnashear in commom. inakuaje kipindi cha uchumba uyo wifi yako aliona ni sawa na sasa hataki? mimi naona uncle yuko sawa aendelee tu na life style yake maadam hajaanza kwenye ndoa. alimkuta hivo na amwache awe hivohivo
Husninyo umesema Kipipi na nani tena vile umewasoma??Kipipi na saranga nimewasoma.
Uporoto darling na hilo liklorokwini hapo chini mbona kama mna dalili za kuchakachua sredi!! Nitawamwagia tindikali.
Naweza kusema, kama kuna hali huipendi katika ndoa, basi ibadili, ukishindwa hilo inabidi wewe ndio ubadilike na kukubaliana nayo, na kama hili ni gumu pia basi hatua ya mwisho ni kujiondoa........ huenda alijaribu njia ya kwanza na ya pili zikashindikana na ndio maana akakimbilia hiyo ya mwisho............. mke yuko sahihi..............
mnaweza kumbadili polepole kama umesema huenda club weekend tu iwe siku moja na hili la kunywa kwa kuanzia awe anakunywa home siku 4 na bar siku 3 kwa kuanzia na polepole anaweza kuja na rafiki 1-2 wakanywa home na akazoea.
watu hadi mnakubali kuishi pamoja nadhani kuna vitu mnakuwa mnashear in commom. inakuaje kipindi cha uchumba uyo wifi yako aliona ni sawa na sasa hataki? mimi naona uncle yuko sawa aendelee tu na life style yake maadam hajaanza kwenye ndoa. alimkuta hivo na amwache awe hivohivo
Hizi sasa ndo typical ndoa za dotcom,ukimwaga ugali namwaga mboga,ukichelewa kurudi nasepa.Mambo magumu sana haya maana inaelekea bi harusi ni wa mujini mujini na bwana harusi hali kadhalika ni wa mujini mujini,kaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli.Watarudiana tu,Husninyo wala usikonde ni kaupepo ka ibilisi kamempitia anti yako,akili ikirudi ataona amefanya upuuzi kuondoka.Ukipata muda ongea na anko mwambie lakini mshikaji(maana pamoja na uanko nahisi ni kijana mwenzio) hii noma mwambie,msisitizie kuwa anamuumiza mwenza wake wakati mwenza anampenda sana,we mpambe tu atajisikia vibaya na huenda akaanza kubadilika taratibu.
mwanandoa mzuri ni yule anaeweza kubalance baina ya vitu vitatu. romance, commitment na sacrifice.
Sitofafanua zaidi.
haiwezekwni kummpa mwanamke wa kibogo hivi vitu; always atakomplain tuu!
yale yale...,mwanamke anaolewa akiamini mwanaume atabalika, na mwanaume anaoa akiamini mwanamke hatabadilika!kama hiyo siyo tabia mpya kwa mumewe as alikuwa nayo tangu hawajaoana leo anashangaa nini? kama mkewe alikuwa hapendi hizo tabia alikuabali nini kuolewa na mtu wa hivyo? kama kuna kitu huwezi kukivulia kutoka kwa mwenza na umekiona kabla hata hamjaoana usidhani kuwa mkiooana utaweza kukivumilia, na usidhani kuwa akitabadilika over nit....vinginevyo kama walikubaliana kwamba anaacha hiyo tabia halafu ameendelea nayo hilo ni suala lingine.
kwani huo mziki anaenda kila siku?
weeh bebii, ntaanza kukufinya mapajani sasa! kha!