Ni issue nzito nakumbuka wakati wa maandalizi ya harusi yangu tulienda kwa mchungaji kwa ajili ya mafundisho ya ndoa. moja ya kitu alichosema anasema maisha ya mwanadamu ya na stages tofauti kuna utoto ujana, umri wa utu uzima na uzee. umri wa ujana ndio umri wa kufanya mambo yote kama ni kujirusha kama ni kulala baa, kwenda disco kukaa baa na marafiki chochote utakacho ujana ni mzuri sana na utumie vizuri. but once ukiamua sasa mimi nataka kuwa na familia hiyo ni another commitment and u ve to bare with it. familia ni lazima iwe ya kwanza kwa kila kitu. sasa shida huwa watu wanaoa au kuolewa hawajui kwa nini wako kwenye hizo ndoa. anaona marafiki ni wamaana kuliko familia yake. sasa uliuoa ya nini kama marafiki na starehe ni za maana kwako.
but all in all fainali ni uzeeni yale magonjwa ya uzeeni yakianza ndio tutajua kama baa marafiki na familia ni nani kati ya hizo zitatuuguza na kutucare.
but all in all fainali ni uzeeni yale magonjwa ya uzeeni yakianza ndio tutajua kama baa marafiki na familia ni nani kati ya hizo zitatuuguza na kutucare.