Ndoa na starehe

Ndoa na starehe

Ni issue nzito nakumbuka wakati wa maandalizi ya harusi yangu tulienda kwa mchungaji kwa ajili ya mafundisho ya ndoa. moja ya kitu alichosema anasema maisha ya mwanadamu ya na stages tofauti kuna utoto ujana, umri wa utu uzima na uzee. umri wa ujana ndio umri wa kufanya mambo yote kama ni kujirusha kama ni kulala baa, kwenda disco kukaa baa na marafiki chochote utakacho ujana ni mzuri sana na utumie vizuri. but once ukiamua sasa mimi nataka kuwa na familia hiyo ni another commitment and u ve to bare with it. familia ni lazima iwe ya kwanza kwa kila kitu. sasa shida huwa watu wanaoa au kuolewa hawajui kwa nini wako kwenye hizo ndoa. anaona marafiki ni wamaana kuliko familia yake. sasa uliuoa ya nini kama marafiki na starehe ni za maana kwako.

but all in all fainali ni uzeeni yale magonjwa ya uzeeni yakianza ndio tutajua kama baa marafiki na familia ni nani kati ya hizo zitatuuguza na kutucare.
 
Mimi namsupport aunt! Malezi ya watoto ni jukumu la wote wawili! Wengi mmemshambulia kisa eti alijua tangu mwanzo.

Jamani mabachelar wengi ni watu wa bar na club; kwani most of them hawapiki na pia hawana watu wa kuwasubiria nyumbani.

Mwanaume unapoamua kuanzisha familia ni lazima ujue what u r getting urself into; sasa hii biashara ya kutafsiri ndoa kwa kutia mimba tu na kununua chakula na nguo zinapaswa kukemewa! Sasa wewe kila siku unarudi usiku umelewa saa ngapi utajua familia yako imeshindaje?

Aunt is a strong woman ajuaye ni nini anakitaka kwenye ndoa; na hajidanganyi kama most of us kuwa jamaa atabadilika! Good for her; atapata mume mwingine bora zaidi!
 
Habari zenu wapenzi wangu woote!
1.ni halali kwa mume kuendekeza starehe wakati mke hapendi.
2.ni halali kwa mke kumzuia mumewe kufanya anayoyapenda wakati alishayaona tangu mwanzo na ukakubali kuingia kwenye ndoa.
3. Wote tunajua malezi ni ya pande zote mbili, nikirudi kwenye mfano wa uncle wangu niliowapa napata utata. Kwanini asiache kwenda mziki abaki kulea mtoto!!

Husninyo....hatujambo!

Hii kitu ya HALALI na si HALALI inaletaga matatizo mengi sana kila kitu kuanza kukipima kwen mizani, kwenye ndoa vinasumbua sana..inabidi kutazama kila jambo katika muktadha wake.

Asante
 
Husninyo....hatujambo!

Hii kitu ya HALALI na si HALALI inaletaga matatizo mengi sana kila kitu kuanza kukipima kwen mizani, kwenye ndoa vinasumbua sana..inabidi kutazama kila jambo katika muktadha wake.

Asante

hebu niambie wewe muktadha wako.
 
hebu niambie wewe muktadha wako.

wangu ni kutokuwa na strings za kuwa hiki ni halali na hiki si halali....wala kuwa na mtizamotofauti kisha mambo mengine yanaenda kiulaiiiiiini kabisa
 
mabadiliko ni muhimu
angalia mwenzio anapenda na hapendi nini kutoka kwako
pande zote mbili zinatakiwa kufanya hivyo
unapokubaliwa kuoa au kuolewa lazima utarajie mabadiliko
vinginevyo hautaweza kuishi
unatakiwa kuwa kuwa makini sana
 
Back
Top Bottom