Ndoa na Uraia Tanzania..

Ndoa na Uraia Tanzania..

Sirbus

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
20
Reaction score
6
Msaada wa uelewa please

Wana jamvi naomba kufahamu, maana naamini humu kuna wataalam mbali mbali ikiwemo magwiji na wataalam wa sheria....

Swali langu~

Mtanzania mume anapooa mwanamke wa nchi tofauti mathalan mganda, yule mwanamke anapata uraia wa Tanzania..

Je, wanapoachana, either kwa kufuata sheria au kutengana, yule mwanamke anapoteza uraia au bado anakuwa raia wa Tanzania?

Lakini pili, Tanzania hairuhusu uraia pacha, je anapopata uraia wa Tanzania uraia wa nchi yake unafutika au inakuwaje?

Wataalamu please msaada..

---------
Okiki
 
Nnakujibu kiuzoefu.

Mwanamme/ mwanamke raia wa kigeni kama alipata uraia wa TZ kupitia mwanamme/ mwanamke ana uamuzi wa kurudi kwenye uraia wake au kuendelea kuwa mTZ, huo mpira unakuwa kwenye wigo wake.

Kama wakiachana huyo mwanamke/ mwanamme ataendelea kuwa raia wa Tanzania kupitia utaratibu wa kuasiliwa uraia au "naturalization" ambao aliuomba mlipooana.

Lakini anaweza kufutiwa uraia huo na waziri wa mambo ya ndani ambae itatokea ameridhika kwamba raia huyo amevunja sheria kwa kuwasilisha pamoja na maombi ya uraia, vyeti vya kughushi au uongo mwingine wa kutunga ili kujipatia uraia wa Tanzania na hiyo ni kupitia sheria ya uhamiaji ya mwaka 1995 na ile ya 1997.

Pili, kwa kuwa Tanzania hairuhusu uraia pacha basi raia huyo wa kigeni atatakiwa kuukana uraia wa nchi alikotoka na kama atafutwa uraia wa Tanzania basi atapaswa kurudi nchini mwake na kuondoka nchini Tanzania mara moja maana atakuwa anayo passport ya nchi yake (kumbuka akiomba uraia anapeleka copy tu ya pasi).

Nadhani ntakuwa nimekupa mwanga.
 
Umenipa mwanga mkuu asante sana..

Japo nawaza iwapo aliukana uraia wake wa awali ataruhusiwa kuurejea tena?

Kama ndio, ni mara ngapi anaweza kuruhusiwa kuurejea uraia wake hasa km ni mtanzania ameolewa nje akaukana utz na baadae kutaka kuurudia utz kutokana sababu mbali mbali..
 
Wala haisumbui unaukana uraia wa kigeni (ingawa kwa nchi zingine unaweza kuendelea kuwa na uraia wao kwa kuwa wanaruhusu uraia pacha kama UK na USA)

Ila kama ulikana uraia wa TZ na unataka kuurudia basi inabidi ufuate taratibu na mojawapo ni kuukana huo uraia wa kigeni kwa sababu TZ hairuhusu uraia pacha.

Nafikiri umenielewa hapo.
 
Back
Top Bottom