Sirbus
Member
- Apr 8, 2012
- 20
- 6
Msaada wa uelewa please
Wana jamvi naomba kufahamu, maana naamini humu kuna wataalam mbali mbali ikiwemo magwiji na wataalam wa sheria....
Swali langu~
Mtanzania mume anapooa mwanamke wa nchi tofauti mathalan mganda, yule mwanamke anapata uraia wa Tanzania..
Je, wanapoachana, either kwa kufuata sheria au kutengana, yule mwanamke anapoteza uraia au bado anakuwa raia wa Tanzania?
Lakini pili, Tanzania hairuhusu uraia pacha, je anapopata uraia wa Tanzania uraia wa nchi yake unafutika au inakuwaje?
Wataalamu please msaada..
---------
Okiki