Ndoa nazo zina mambo yake jamani

Ndoa nazo zina mambo yake jamani

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,335
Hellow hellow [emoji112][emoji112]
Asikuambie mtu ndoa zina mambo sana ,kuna kile kiutaratibu ule muda wa kulala sasa umeshatoka kwenye mihangaiko yako mnakutana ile usiku mke anaanza kukupa ubuyu wa siku nzima na wewe kama unao unampagia halafu baada ya hapo mnajipongeza na kimoja cha mkwezi mna lala zenu[emoji12][emoji12]
download (2).jpg
View attachment 2081271View attachment 2081269
 
Back
Top Bottom