Ndoa! Ndoa! Naomba mawazo na ushauri wenu katika hili

Makosa ni yako.
Mkeo ana dharau inawezekana hii Dharau ya Mkeo wewe ndo umeifanya.
Umekaa na Mkeo mpaka mimba mtoto ulitegemea aende lini kumuona Mama yako Mzazi.
Mama yako Mzazi na umri wake aliokuwa nao apange safari kwenda kumuona Mke wako muda wote alikuwa wapi? Kama siyo Dharau

Kosa lingine kabla ya huyo Mkeo kuanza kukaa naye Ulitakiwa umpeleke kwa wazazi wako wakae naye wiki 1 awasaidie kazi wazazi. Mama yako wala asingekuwa na maneno ya kumsema huyo Mkeo
 
Asee nimekuwa mdau sana wa kusoma nyuzi zako huu nilikuwa sijawahi usoma..umeandika vyema sana.Kongole kwako
 
Nafikiri hapa umesema kimhemko zaidi,nimpelekee asaidie kazi kwa muda upi, mazingira ya familia nayaelewa mimi na muda wa kwenda nae ulikuwa tayari kwenye ratiba..kama umesoma vzri apo juu ni wao wazazi ndio walianza kutupiana maneno wala siyo mimi na wife...Na mama aliforce mwenyewe kuja DSM kumwona mjukuu wako coz ndio mjukuu wake wa kwanza toka kwangu.Aseeh!wewe wanawake wasikie tu,,,
 
Dini haisuani na matatizo. Labda upate muda wkutafakari zaidi nn cha kufanya.
 
Ugomvi na wazazi tu unaamua kubadili na dini? Kweli? Kama dini haihusiani imekuaje ukaiweka kwenye hii mada?inaonekana mambo ya kifamilia ndio key point unless otherwise ungeelezea hizo unazosema ni motives behind your decision... unaonekana hujakua bado kijana take things easy be calm ujana unakusumbua bado
 
Ata hivyo, ulichumbia familia ya kishenzi.

Ungemuuliza mama yako chanzo cha matatizo yote pengine ungemuelewa.
 
M
Mwongozo wa kubadili dini nenda msikiti ulio karibu na wewe watakuongoza [mwongozo ni kutamka kwa ulimi na kukiri kwa moyo kuwa HAKUNA MUNGU ANAYEPASA KUABUDIWA KWA HAKI ILA NI ALLAH PEKEE ALIYETUKUKA, ASIYE NA MSHIRIKA KATIKA UUNGU WAKE, BWANA WA VIUMBE VYOTE NA MUHAMMAD NDIYE MJUMBE WAKE]

KUKIRI KWA MOYO maana yake kuwa na yakini na kuyaishi hayo!!!! MUHAMMAD ni Mtume wa mwisho na baada yake hakuna Mtume mwingine atakayekuja. Aidha, kabla yake wamepita manabii na mitume wengi kuanzia Adam, mpaka Issah Rehema ba Amani ziwe juu yao wote....
 
Ungekuwa wazi tu kuwa kuna pisikali ya kiislam imekuvutia ila imekupa condition ya wewe kuwa mwislam
 
Kuna kipindi nilishawahi kua mbishi hivi hivi...yaliyonikuta Mungu tu ndo alisaidia..point ya msingi wazazi ni mungu wa duniani wasikilize na uwaheshimu oima wanachokuambia maana kimsingi hakuna mzazi anaemtakia mwanae mabaya..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wasichana wa Iringa pasua kichwa sio waelewa , wabishi na wajuaji
 
Nakushauri soma kwanza uislamu uufahamu jpo upate mwanga kidogo kisha hayo mambo yko yatakuwa bila shida yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…