Ndoa ndoano

Ndoa ndoano

Mahusiano ni kamari. Kuna wanaopata na wanaopatwa
 
Ana nini kwani?
Sasa mbona nyama uzembe hivyo!Raha ya Bilionea uwe na body kinanda sasa mwili utasema anakula ma burger na machipsi bwana......Kuna huo mwili hapo wa mwinzie Prons kilo moja,apple,Jani moja la spinach ndizi mzuzu moja glass mbili za wine😁😁😁
 
Bado Hawa wachache hawafanyi tuasiamini katika ndoa.

Jambo lolote duniani Lina changamoto, faida na hasara zake.

Jambo lolote likiwa na faida nyingi zaidi kuliko hasara basi huchaguliwa Hilo kufanywa huku zikiangaliwa namna ya kupunguza changamoto na hasara zake.

Ndoa zitaendelea kuwepo, wanawake wataolewa na wanaume wataoa, tutake tusitake.
 
Back
Top Bottom