Ndoa ni baraka kwa walio na bahati nazo

Ndoa na mapenzi yanaweza kukuua kabisaa dah.
 


Kufail NDOA ni kufail MAISHA ya hapa duniani na yale maisha baada ya mwili kuludi mavumbini Ndio maana waswahili wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa

Tatizo wavulana wengi wanafanya maamuzi ya NDOA kwa kutumia kichwa cha chini i.e tamaa kitu ambacho ni hatari Sana
 
Kweli mkuu!
Ndoa inaweza kukuchana vipande vipande hadi ukafa
 
Tumia Numerology
 
Ndiyo maana mm Sexless napendekeza watu waoane ndugu kwa ndugu
 
"Listen Big Balls , I hate to break it to you, but what people call 'love' is just a chemical reaction that compels animals to breed. It hits hard, Big Balls , then it slowly fades, leaving you stranded in a failing marriage".

Haijalishi mtaendana na mtapendana kias gan kwenye ndoa ni lazima mmoja wenu akubali kuwa dhaifu ili mambo yaende, sasa utachagua uwe wewe au yeye and not otherwise.
 
Mkuu ulichosema kweli kabisa. Ila nimejitoka kwenye mambo yanaitwa mapenzi. Nikiwa nahamu natafuta mpenzi wa mda mfupi napoa kila mtu anaendelea na maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…