Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote.
Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo hugeuka gereza.
Vijana wa kiume nanyi msioe wala kuishi kwenye ndoa kwa sababu mwanamke anapika chakula kizuri anakupa ngono ya bure muda uupendao au ana makalio makubwa na sura ya kuvutia.
Oa sehemu ambapo ndoa kati yenu wawili itafsirika kuwa ni furaha na sio bora liende au tupo tu kulea watoto.
Vijana tambueni ndoa sio gereza la maisha yenu, furaha yenu ndio yapaswa kuwa msingi wa ndoa yenu.
Wanawake kwa waume nyumba zao huzikimbia na kuziona shubiri, matukio yanatokea ya kutisha msifikiri yanayo watokea si watu kama nyie tambueni kuwa nyie na wao ni sawa.