Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ukifika jeshi kabla ya kuanza mafunzo kuna ile introduction to Depo, kwenye introduction to Depo mutazungushwa maeneo yote ya kambi , mutapewa miiko na amri zote.
Ili baadaye ukikosea ujue kabisa kuwa kosa hili adhabu yake ni ipi. Kuna makosa adhabu yake ni kulimwa guard (kulinda night za kutosha)
Kuna makosa adhabu zake ni kushushwa cheo na mengine kufungwa au kukaa mahabusu ya main gate na kuna mengine ni death penalty.
Hivyo kabla ndoa kuanza mume mtarajiwa ni vyema ampe maelezo ya ndoa yake tarajiwa. Mwanamke aamue kuwa huyu mume nawezana naye au la.
Mwingine ulevi ni mwiko, mwingine kuchepuka ni mwiko, mwingine kuondoka nyumbani mpaka ruhusa ya mume hata kama mume yuko mbali mpaka kibali chake kitoke ndo mke atoke ndani.
Imefika wakati sasa mke anampa amri mume na mume mjinga anatii. Ni sawa na kuruta kumpa masharti mkuu wa kikosi 😭😭😭😭
Mimi najua kuwa nina wivu kuliko wengi wenu humu ndani.
Nilimwambia kabisa tukiwa wachumba kuwa makosa mengi au yote nitamsamehe ila siku nikipata uhakika kuwa amechepuka ndio mwisho wa ndoa yetu.
Nilimwambia tena hilo neno baada ya miaka 7 ya ndoa yetu.
Simtishi it's real hata kama atachepuka tukiwa na miaka 30 ndani ya ndoa uamuzi ni huo huo.
Mwanamke kuchepuka ni matusi makubwa sana.
Watoto wa kiume wa father tuko 8 kaka zangu 3 waliwahi kuacha wake zao for the same reason.
Nadhani hii ni tabia ya familia yetu. Hatusamehi cheating.
Nikuhudumie halafu ugawe uroda nje. Hapana. Wife nimemwambia kwa usalama wa maisha yake akichepuka na nikajua ni heri ajiokoe nafsi aukimbie mji wake.
Acheni kuwachekea wake zenu . Ndoa ni jeshi na mume ni mkuu wa majeshi.