KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Jichunguze tabia zako kama unajijua huwezi kutulia na ndoa yako tuliza kizazi alasivyo tutakikata!.
Unaoana ili iweje ukijua utamletea mwenzako balaa!,kama hicho kipaji huna jishughulishe navitu vyengine usihangaishe makomwe yawenzako.
Mnaona halafu mnasumbua wazee kila siku vikao wanakosa hata muda yakunywa mbege.
Mkishaona mmekuwa watu wazima maugomvi yakijinga mkiyakuza mnatakiwa wote mlambwe mboko!,hamjui sikuhizi muda ni mchache mambo ni mengi sasa kesi ya kuumana tu mpaka kwa mwenyekiti!!.
kila mtu atimize wajibu wake kwenye ndoa,tusipotezeane muda wakati nyote mmepevuka.