Ndoa ni kitanzi. Yaani mwanandoa ananuna mwenza akitoka kitaa na kupitiliza bafuni??!!!

Ndoa ni kitanzi. Yaani mwanandoa ananuna mwenza akitoka kitaa na kupitiliza bafuni??!!!

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Jamani ndoa ngumu sana. Mfano umeolewa/umeoa halafu ikatokea siku umetoka zako mishe umefika home halafu ukapitiliza bafuni kuoga, inakuwa nongwa. Tena nongwa kweli kweli.

Kwanini??

Shout out kwa singles wote
 
Watu wana different character, wamekuwa raised tofaut. Mpaka unaingia kwenye ndoa ni kwamba unamjua mwenzio. Na umesha ishi nae na umeridhia kubeba madhaifu yake.

Ishu kama hizi ni za kubeba kimya kimya
 
Kwann upitilize? Afu wenzio huwa wanaoga hukohuko then nyumbani inakuwa mara ya pili
 
Back
Top Bottom