Idara nyeti
New Member
- Dec 28, 2020
- 0
- 54
Naendelea na wito wangu wa kufanya mgomo usio na kikomo wa kuoa, hapa nawaomba wanaume hasa wanaojielewa kuendelea kuwasusia kuwaoa tuwapashe matobo tu tule nduki ndefu.. huko kwenye ndoa nishasema ni gereza la maisha na huko wanaume wanasoteshwa zaidi ya washukiwa wa ugaidi guantanamo wanaishia kwenye stress za kudumu na kufa kabla ya wakati.
Kumejaa maigizo na show off za kinafiki huku wakigugumia maumivu makali... dawa tunayo tuitumie ni kugoma kuoa mpaka kieleweke
Kumejaa maigizo na show off za kinafiki huku wakigugumia maumivu makali... dawa tunayo tuitumie ni kugoma kuoa mpaka kieleweke