Ndoa ni sanaa ya maigizo na kiwanda cha mauzauza

Idara nyeti

New Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
0
Reaction score
54
Naendelea na wito wangu wa kufanya mgomo usio na kikomo wa kuoa, hapa nawaomba wanaume hasa wanaojielewa kuendelea kuwasusia kuwaoa tuwapashe matobo tu tule nduki ndefu.. huko kwenye ndoa nishasema ni gereza la maisha na huko wanaume wanasoteshwa zaidi ya washukiwa wa ugaidi guantanamo wanaishia kwenye stress za kudumu na kufa kabla ya wakati.

Kumejaa maigizo na show off za kinafiki huku wakigugumia maumivu makali... dawa tunayo tuitumie ni kugoma kuoa mpaka kieleweke
 
Mwendo ni ule ule ......HIT ,AND πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Mimi.. naona nikwasababu hujapata mke mwenye tako.la kg 100 na urefu wa future 5'6.na Ni MD.. na mwenye bikra..akiwa kabila la wachagga..
.ukimpata huyo utaoa TU....
 
Huku Mtanange wa BIKRA huku UBACHELA! Jf kuna nini tena jamani?
 
Mwendo ni ule ule ......HIT ,AND πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Siku hizi hata sisi tuna hit and run
 
Mimi.. naona nikwasababu hujapata mke mwenye tako.la kg 100 na urefu wa future 5'6.na Ni MD.. na mwenye bikra..akiwa kabila la wachagga..
.ukimpata huyo utaoa TU....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi bas, muhusika akiona ataku anzishia uzi.
 
Kama unaendesha boda boda kama kazi yako au usafiri wako mkuu hakikisha una mke anayekupenda mapema mno
 
Una umri gani sasa hivi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…