Ndoa ni ushahidi wa kutokuaminiana katika mahusiano

Ndoa ni ushahidi wa kutokuaminiana katika mahusiano

Leo utaingiza bei gani....lol!

Vipi ndoa inaendeleaje? (hivi mbona ulitoroka wewe lakini...lol)
Hahaha!!! Wewe ndio ulinitoroka banaa angalia nanii yako ya mwisho nilisemaje
 
QUOTE=The Finest;2460853]Nakuja leo wala usijali Klorokwin aliazima baiskeli yangu ndio yuko njiani anairudisha
Mbona mwaliko ulikuwa wangu huo aise[/QUOTE]
Mkuu kadi yako iko Mtwara subiri baada ya wiki mbili lol
 
Hahaha!!! Wewe ndio ulinitoroka banaa angalia nanii yako ya mwisho nilisemaje

Nazeeka ukiona hivo....aaaah!
Ngoja niangalie nipate ushuhuda basi...
Electonics zangu leo zina behave funny funny
 
Nazeeka ukiona hivo....aaaah!
Ngoja niangalie nipate ushuhuda basi...
Electonics zangu leo zina behave funny funny
Ngoja nikuagizie miwani yako, ukiishashuhudia nijulishe
 
mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.
Kazi ipo,kama unaiba ulioa kwa nini?
 
Mbona mwaliko ulikuwa wangu huo aise
Mkuu kadi yako iko Mtwara subiri baada ya wiki mbili lol[/QUOTE
Naifuata kwa ungo wa bibi na utashangaa nitakuwahi kupata supu ya jioni kabla haijachakachuliwa
 
dah ushauri wako ni upi kazi kweli kweli
 
mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.

Jina lako linanikumbusha kawimbo fulani ka TANGA INTERNATIONAL kanakoimbwa:

Zubeda wa mamaae,
Mimi nakutafuta,
Zubeda u wapieee
Watu wanasema upo city eeee.

mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.

Ndoa ni mkataba, muungaji wake nu Mungu
 
huo ndo ukweli hakuna mijadala ya ndoa ya kumtisha mtu,upeo mdogo unao wewe unaozeshwa na kutoa TAKRIMA
 
Back
Top Bottom