It happens, lazima tukumbuke kuwa kuna watu wamezaliwa na low sexuality! kuna watu sex siyo important au kwa sababu za makuzi na hofu waliyojengewa kuhusu sex wakati wa ukuaji wao. I sill think ni psychological problem. lakini kwa upande mwingine jamaa naye inabidi atafute namna ya kucope na mkewe ili waendane. Kma ameweza kumanage for 15 years ambayo ndiyo ilikuwa active years sexualy, hatashindwa kwa sasa. Baba ajitahidi kumwelewa mkewe na kuikubali hali hiyo kama wamejeribu option nyinginezo.
Nawashauri wachukue vacation ya three days away to a cool place, wakae na ku-rediscover each other, yaani katika three days hizo wafanye foreplay tu bila sex hadi siku ya mwisho kabisa ndo wamalizie na sex. Naweza kuelezea the whole process but in pm if necessary ili kuwasaaidia ndani ya hizo three days, it might help.