Kwa kuongezea kny michango ya Nguli na Lumbe.......!
Sielewi kwa nini watu wazima wameoana rasmi wafikirie kutumia Kondom......hizi zinawanyima haki ya msingi ambayo wanandoa wamepewa na Mungu tangia waoane.....kwa wanandoa, kondom ni kuvinyima uhuru wa asili wa kujinasi viungo vyao! Viungo vyao vinapaswa vipeane joto asilia, litokanalo na friction iliyotengenezwa kwa misuguano ya moja kwa moja sio though kijikaratasi........!
Ili kuzuia mimba zisizo na ulazima, wanandoa wanashauriwa vizuri kabisa na wazee wa kanisa (mama Kanisa kwa RC) kutumia njia za asili and not modern ways hii imewezekana sana kwa ndoa nyingi tu.....au njia nyingine rahisi zaidi (kwa wenye control na saikoloji nzuri kny sex, ni kurusha mitakataka nje ya ''uwanja'' kila mzunguko unapofika......this is very simple but risk kama una kiherehere na papara.....!
Issue ya pili, kwa uzoefu wangu wanawake wengi hutengenezewa mazingira kupenda sex tofauti na wanaume.....so nina wasiwasi huyo mheshimiwa huwa hampi nafasi anayostahili bibie kabla na wakati wa sex.....inawezekana huwa wanakazana pengine huku akiwa amewasha laptop pembeni....akichoka kupump anabofya kny laptop kucheki vipolo vya job.....this is very bad....mkuu Maane chunguza hili!
Tatu...Mkuu Maane, ukiwa kama Msimamizi jaribu kupata historia ya mapenzi ya bibie na walikutana vipi na huyo mumewe. Chunguza sana uone kama kweli hana kijibuzi kingine pembeni ambacho ndicho kilimbikiri enzi hizo na pengine ikashindikana kuolewa nacho may kilikuwa tayari na mke, na bibie was desperate kuwa married akaishia kujinasa kwa jamaa....hasa unaposema ''ana nafasi nzuri'' tena inawezekana hiyo nafasi serikalini alimtafutia yeye akiwa tayari bosi huko serikalini.....so hakukuwa na real upendo wa dhati baina ya hao wawili bali mazingira fulani yaliyowapekea huko.....! so the truth inaweza kuwa huyo mama mume hampendi kabisa kabisa, anapenda watoto wake tu....na ni possible watoto hao sio wa mume anayekaa naye...rejea thread ya MTM na mambo ya DNA...hapo ndipo umuhimu wa kupima DNA unapokuja! Vinginevyo sioni why huyo bibie asipende kufanyana na mumewe just eti hajisikii...wanawake wengi wakishakuwastimulated wanapenda kufanyana sio mchezo....hata uende raound 12 anakuwa bado yupo na wewe kama anakupenda kweli!
Muhimu: achana kabisa kabisa na fikira kwamba eti ni wacha Mungu.....mkuu Maane wewe si Mungu unayeweza jua ukweli wa mioyo watu kwa kuangalia machoni tu.....! Tumeona mara ngapi watu tunaodhania wacha Mungu....kumbe behind the scene ndio Mafisadi, ndio wafiraji, ndio wabakaji, ndio wezi....angalia issues za mapadre wa Kikatoliki huko Ireland, leo gazeti la Mwananchi limereport mtawa mmoja kutapeli huko Bunju.....! Uzoefu wangu hawa tunaodhani wanamuogopa Mungu sana mara nyingi wanafanya hivyo kuficha maovu yao mengi ambayo katika hali ya kawaida ingekuwa rahisi sana kusitukiwa......!
But hold on; Mkuu Maane, hiyo ndoa mlisimamia wewe pamoja na Bibi Mkubwa....mwambie ambane sawa sawa huyo mama....kama kuna kitu nyuma pazia ata note tu japokuwa anaweza asikubali moja kwa moja!
So mzee wangu Maane.....kamchango kangu kidogo!
NL