Ndoa sio ya kila mwanamke

Ujumbe kwelikweli.
Katika kundi la watu kuanzia wawili, lazima awepo kiongozi. Mwenyezi Mungu pia akatoa huo muongozo nani awe juu ya mwenzie.
Ila tuepuke kunyanyasa wenzetu kisa sisi ni wanaume, Mungu hapendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…