Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Samahani.... mbona ndoa nyenyewe ni ya jinsia moja????????
Tena ndoa kama hizi huwa zimejaa furaha na raha sana! nakubali kweliLazima ndani ya ndoa hii umejaa uaminifu mkubwa....!
Tena ndoa kama hizi huwa zimejaa furaha na raha sana! nakubali kweli
Baba Osra na Mama Mnyandete wa Kijiji Ikombabukimmhhh eti hawa kina nani?
Baba Osra na Mama Mnyandete wa Kijiji Ikombabuki
Me naishi UTEMINI!!!Wewe Ikombabuki unakujua? Mie naishi Songwa
Haya bana fungua kesi CHADEMA watanisaidia! ninazo nyingi! na mimi nafanana na wewe!Hiyo picha karibu inataka kuchakaa kwenye store yangu jembe ndo anaifuma leo. By the way, nani aliyekuruhusu kupost picha ya harusi ya dadangu bila idhini yake? Nitafunga mtu mwaka huu...