Ndoa takatifu

Ndoa takatifu

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
ndoa.jpg
ndoa takatifu
 
Samahani.... mbona ndoa nyenyewe ni ya jinsia moja????????
 
Mmmh.....Is beauty an objective or a subjective phenomenon?

Lazima ndani ya ndoa hii umejaa uaminifu mkubwa....!
 
Wamependeza hakika na wanavutia sana, angalia, tafasiri tabasamu na usiangalie wanaonekanaje. Mungu awasaidie katika maisha yao
 
Hiyo picha karibu inataka kuchakaa kwenye store yangu jembe ndo anaifuma leo. By the way, nani aliyekuruhusu kupost picha ya harusi ya dadangu bila idhini yake? Nitafunga mtu mwaka huu...
 
Hiyo picha karibu inataka kuchakaa kwenye store yangu jembe ndo anaifuma leo. By the way, nani aliyekuruhusu kupost picha ya harusi ya dadangu bila idhini yake? Nitafunga mtu mwaka huu...
Haya bana fungua kesi CHADEMA watanisaidia! ninazo nyingi! na mimi nafanana na wewe!
 
Back
Top Bottom