Si unajua vijana wa siku hizi wanapenda kulelewa, we unaoa mwanamke halafu unaenda kukaa kwake. hapo nyumbani kwa dida wameshaishi waume wawili kama sikosei.
Na utashangaa sasa hv mwanaume mwingine anajitokeza kumuoa huyo kurumbembe.
mmh kama boko vile
Si unajua vijana wa siku hizi wanapenda kulelewa, we unaoa mwanamke halafu unaenda kukaa kwake. hapo nyumbani kwa dida wameshaishi waume wawili kama sikosei.
Sasa zamu yangu ya kumuoa Inshaallah.
hivi yule kijana anayehost kipindi na kidot pale tv one ndio alilioa hili kulumbembe? kama ndiyo yeye basi uchawi upo duniani.
ha ha ha uchawi haupo labda alilishwa vya Kitanga akachanganyikiwa
Kuingia ndani ya ndoa akakuta mambo ndivyo sivyo
Aiseeee.... naomba niulize tu, data huwa unazinyaka wapi??? Maana ww ni mtata!
midomo ya watu mibaya jamani, yaani hii ndoa ilivunjwa na midomo ya watu tangu siku ya kwanza ilipotangazwa!!!
Utabiri mwingine hauitaji hata kipaji cha sheikh Yahya waliyajua tu haya... ila dah i feel pity on Dida jamani... yani mwanaume umlishe umvishe bado akucheat..
ngoja kesho nisikilize mitikisiko ya pwani nione kama ule mdomo bado anao
upo mdomo pale pale .....!!!uende wapi...?
tupo mdomo pale pale .....!!!uende wapi...?
haa haa haa nilifikiri labda utakuwa umepungua ...lol
upo mdomo pale pale .....!!!uende wapi...?
haa haa haa nilifikiri labda utakuwa umepungua ...lol
Daah kweli jasiri haachi asili lol